Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2015/2016 HAYA HAPA

$
0
0
Baraza la mitihani NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha 2 kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana ambapo wanafunzi 324,068 sawa na 89% kati ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles