Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Tazama VIDEO Kuona Kilichotokea Leo Wizara ya Fedha baada ya Rais Kufanya ziara ya Kushtukiza

$
0
0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza kwa kutembea kwa miguu kutoka Ikulu hadi katika Wizara ya Fedha na kukagua utendaji kazi wa wafanyakazi wa  ofisi hizo, hata hivyo alikuta baadhi ya maofisa  wakiwa nje ya ofisi zao. 





Tazama hapa kilichotokea Wizara ya fedha baada ya Rais kufanya ziara ya kushtukiza
Posted by Dar24 on Friday, November 6, 2015

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles