MFAHAMU RAISI MASIKINI ZAIDI DUNIANI ANAYEISHI KIJIJINI
Ni kawaida kukuta maisha wanayoishi Wanasiasa ni tofauti na wapiga kura wao lakini sio hivyo kwa Rais wa Uruguay ambae anaishi kwenye maeneo ya mashambani na anatoa sehemu kubwa ya kipato chake...
View ArticlePicha: Rais Magufuli alivyokutana na kufanya mazungumzo na muwekezaji Aliko...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli jana tarehe 10 Desemba 2016, amekutana na kufanya mazungumzo na Mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mtwara, Alhaji...
View ArticleMALORI 600 YA DANGOTE YAWASILI BANDARI YA MTWARA
Mfanyabiashara Alhaji Aliko Dangote jana alipokuwatana na kufanya mazungumzo na Rais Dk Magufuli, Ikulu jijini Dar es Salaam alimthibitishia kuwa hana lengo la kufunga kiwanda chake kama inavyodaiwa...
View ArticleWASHINDI WA TUZO ZA EATVAWARDS ZILIZOFANYIKA JANA USIKU
Historia imeandikwa kwenye tasnia ya sanaa nchini ambapo kwa mara ya kwanza tukio la utoaji wa tuzo za #EATVAwards kwa wasanii wa muziki na filamu Afrika Mashariki, limefanyika usiku wa kuamkia leo...
View ArticlePicha: Red Carpet ‘Usiku wa Tuzo za EATV’ – Mlimani City
Wasanii wa muziki, filamu pamoja na wadau mbalimbali wa burudani nchini wamejitokeza kwa wingi katika usiku huu wa Tuzo za EATV hapa Mlimani City jijini Dar es salaam.Jux akiwa VanessaMgeni rasmi...
View ArticleBREAKING NEWZZZ:Watu 40 Wafariki kufuatia gari la kubebea mafuta kulipuka...
Lori la mafuta limelipuka nje ya mji wa Nivasha nchini Kenya usiku wa Jumamosi December 10 2016 na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 40.Taarifa iliyotolewa mapema leo December 11 2016 asubuhi na...
View ArticleVIDEO: Mzee wa Upako Aja na Mpya Adai Mke wa Mtu ni Sumu na Mume wa Mtu ni...
Mzee wa Upako aja na Mpya adai Mke wa mtu ni sumu na Mume wa mtu ni Maziwa.ANGALIA VIDEO HII..
View ArticleBREAKING NEWZZ :STEVEN WASIRA MSEMAJI MPYA CCM,MAKONGORO NYERERE ,MADUKI...
Kutoka hapa Lumumba ni kwamba Steven Wassira anachukua nafasi ya Ole Sendeka. Peter Maduki anakuwa mweka hazina kuchukua nafasi ya Zakhia Meghji, na Kinana kabaki katika nafasi yake. Naibu katibu Mkuu...
View ArticleCALL +255 658 194 194 F0R LM IT & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE
BLOG DESIGNING...........................40,000/=BLOG MODIFICATION......................20,000/=LOGO DESIGNING..........................20,000/=RESEARCH PROPOSAL WRITING......150,000/= RESEARCH PAPER...
View ArticleTUZO 3 Alizoshinda ALIKIBA Zamfanya Mwanamuziki AT Ajikojolee Kitandani....
Kabla ya tukio kubwa la #EATVAwards jana usiku, msanii AT aliahidi kuwa kama Kiba angeshinda tuzo basi kwa furaha angekojoa kitandani. Baada ya tuzo hizo na Kiba kulamba tuzo 3. AT ametimiza ahadi hiyo...
View ArticleMzee wa Upako “Kila mwandishi aliyeniandika vibaya ikifika mwezi wa tatu...
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo, maarufu Mzee wa Upako amesema waandishi wote wanaoandika habari za kumchafua watakufa kabla ya kufika Machi mwakani.Kauli hiyo aliitoa jana...
View ArticleDIANA Edward Miss Tanzania Aingia Fainali za Beauty With A Purpose Miss...
Miss Tanzania 2016, Diana Edward, ameingia kwenye fainali za shindano la Beauty With A Purpose ambalo ni sehemu ya mashindano mbalimbali kwenye Miss World.Beauty With A Purpose huhusisha miradi...
View Article