BEKI Aliyenusurika Ajali Ya Ndege Iliyowaua Wabrazil Aanza Kutembea
Alan Ruschel, aliyesalimika kwenye ajali ya ndege iliyoua watu zaidi ya 70 wakiwemo wachezaji wa timu ya Chapecoense ya Brazil ameanza kutembea.Ruschel ameanza kutembea kwa msaada wa mmoja wa madaktari...
View ArticleSalome ya Diamond ni video ya muziki iliyotazamwa zaidi Kenya kwenye Youtube,...
Video ya wimbo wa Diamond Platnumz aliomshirikisha Raymond, Salome, ndiyo video ya muziki iliyotazamwa zaidi kwenye mtandao wa Youtube nchini Kenya, kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, kupitia...
View ArticleMungu mwenyewe atakuja kuinusuru tasnia ya filamu sio sisi – Gabo Zigamba
Msanii wa filamu Salim Ahmed aka Gabo Zigamba amedai hakuna msanii wa filamu ambaye ataweza kuinusuru tasnia ya filamu kutokana na wasanii wa filamu kukosa umoja.Alisema hayo wiki hii wakati...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY TANZANIA GODBLESS TANZANIA
Happy Birthday Tanzania...Tanganyika ni jina la kihistoria la sehemu kubwa ya Tanzania ya leo, yaani ile yote isiyo chini ya serikali ya Zanzibar.Kwa sababu za kisiasa, mara nyingi huitwa "Tanzania...
View ArticleVideo: Rais Dk Magufuli akitembea kama mwanajeshi baada ya kukagua gwaride
Leo Desemba 9 Tanzania Bara imeazimisha miaka 55 tangu ilipopata uhuru wake kutoka kwa wakoloni mwaka 1961. Maadhimisho hayo yamepambwa na shughuli mbalimbali za kijeshi lakini pia ngoma za asili...
View ArticleRais Magufuli ataja mambo yanayoikwamisha Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameitaja rushwa kama changamoto sugu ambayo bado inaendelea kulitafuna taifa la Tanzania katika miaka yake 55 ya Uhuru.Rais Magufuli...
View ArticleSherehe za Uhuru kuhamia Mkoani Dodoma....Leo Ilikuwa Mara ya Mwisho...
Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara zitakuwa zikifanyika mjini Dodoma kuanzia mwaka 2017 badala ya Jijini Dar es Salaam kama ilivyozoeleka. Uamuzi huo umetangazwa leo na Rais wa...
View ArticleVideo: Makomando wa JWTZ walivyoonyesha uwezo wao mbele ya Rais Magufuli
Leo zimefanyika sherehe za maadhimisho ya 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru Dar es salaam, ambapo Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli alikuwa mgeni Rasmi. Mbele ya Rais Magufuli...
View ArticleTAARIFA Kuhusu Usalama Wa Dawa Aina Ya “Diclofenac” Na “Diclopar
TAARIFA KWA UMMA 28 Oktoba, 2016USALAMA WA DAWA AINA YA “DICLOFENAC” NA “DICLOPAR”1. TFDA inajukumu la kulinda na kudumisha afya ya jamii kwa kudhibiti ubora, usalama na ufanisi wa vyakula, dawa,...
View ArticleBILIONEA AMZIKA MAMA YAKE NDANI YA GARI LA KIFAHARI HAMMER HUKO NIGERIA
Ama kweli Duniani kuna mambo, Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Huko nchini Nigeria Bilionea mmoja maarufu amemzika mama yake akiwa ndani ya gari la kifahari aina ya Hummer SUV Jeep , lenye...
View ArticleHawa hapa Wasanii wa Bongo Flava Ambao Walichezea Shilingi Kwenye Shimo la...
Hapana shaka hata kidogo mziki wa Bongefleva umepanda chati kwa kasi sana kimataifa hasa barani afrika na wanamuziki wake wamekuwa na ushawishi mkubwa katika kiwanda cha muziki ndani na nje ya...
View ArticleRAIS MAGUFULI ASAMEHE WAFUNGWA 5,678 .......1,340 WATAACHILIWA HURU
Katika kuadhimisha miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara tarehe 9 Disemba, 2016 Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutumia madaraka aliyopewa chini ya Ibara ya 45(1)(d) ya Katiba ya...
View ArticleMSAIDIZI wa Mbowe, Ben Saanane Adaiwa Kupotea Tangu Nov 18, Hata Simu Zake...
Moja kati ya wasaidizi wa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ameripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha kwa siku 22 hadi leo.Taarifa zilizothibitishwa na...
View ArticleMchungaji awanywesha waumini dawa ya kuua bakteria “Dettol” adai ameagizwa na...
Afrika Kusini inazidi kuzichukua headlines nyingine ikiwa ni wiki kadhaa tangu iripotiwe taarifa ya mchungaji aliyewapulizia waumini wake dawa ya kuua wadudu “Doom” kwa maelezo kuwa watapona magonjwa...
View Article