Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM Yakanusha Uvumi Ulioenea Mitandaoni

Taarifa ilikuwa hivi:Kutoka hapa Lumumba ni kwamba Steven Wassira anachukua nafasi ya Ole Sendeka.Peter Maduki anakuwa mweka hazina kuchukua nafasi ya Zakhia Meghji, na Kinana kabaki katika nafasi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sherehe za Maulid: Waziri Mkuu Asema Serikali itaendelea kuwatumikia...

Katika kusherekea siku ya Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammed (S.A.W), Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea kuwatumikia Watanzania wote bila kujali imani zao za kidini.Majaliwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

'Dume Suruali' ya Mwana FA na ‘Muziki’ ya Darassa Zachuana Vikali Youtube

Video ya ‘Dume Suruali’ ya Mwana FA akiwa na Vanessa Mdee pamoja na video ya ‘Muziki’ ya Darassa akiwa na Ben Pol ndizo video za muziki wa rap Tanzania zinazoongoza kwa kuangaliwa zaidi kwenye mtandao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASIRA: SIJATEULIWA KUWA MSEMAJI WA CCM

Aliyekuwa Waziri na Mbunge wa Jimbo la Bunda, Stephen Wasira, amesema kuwa taarifa zilizozagaa  kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa ameteuliwa kuwa msemaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) sio za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWA NINI MIPANGO YAKO YA MAENDELEO IMEKWAMA 2016?? MAJIBU YANAWEZA KUWA NI HAYA

 Wakati ikiwa zimebaki siku chache kumaliza mwaka 2016, ni vizuri kujiuliza maswali kadhaa kabla ya kuanza mwaka mpya 2017, je mipango uliyokuwa umejiwekea kiuchumi umeitekeleza? Umefanikiwa au ulipata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VANESSA MDEE ALISTAHILI TUZO YA MWANAMUZIKI BORA WA KIKE NA SI LADY JAY DEE

Japo ni tuzo za Tz.... ilikuwa haina baja ya kusemea hili maana tulilitegemea lakini ukweli lazima uwekwe wazi! Lady Jay De hakustahili kuchukua Tuzo aliyo chukua Juzi! Labda jana ilikuwa ni kwa Ajiri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RATIBA KAMILI YA MECHI ZA 16 BORA KWENYE EUFA CHAMPIONS LEAGUE HII HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DEREVA MWINGINE AJIREKODI AKICHEZA MZIKI WA DARASA NAKUACHIA GARI...

@iambenpol @darasatz_fans amazing 💃🏽💃🏽💃🏽😘😘😘😘 @darassacmg 🎤🎤🎻🎼🎧🎺🎷🎼🎹 uwiiiiiiiiiiiA video posted by Shesi (@sheila_simba) on Dec 11, 2016 at 7:44pm PST

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sheikh Ponda Amtembelea Godbless Lema Gerezani........Lema Aandika Barua...

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda amemtembelea Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema katika Gereza Kuu la Mkoa wa Arusha la Kisongo. Kwa mujibu wa Mwenyekiti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOROGORO IPO KATIKA MIKOA HATARI ZAIDI KWA MAISHA YA JAMII YA WAFUGAJI NA...

Vijana wa kimasai (Morani) kutoka vijiji vya wafugaji zaidi ya vitano wakisikiliza viongozi wa jamii hiyo wakati wa mmoja ya vikao vya pamoja vya wafugaji kilichofanyika katika kijiji cha Twatwatwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFAHAMU RAISI MASIKINI ZAIDI DUNIANI ANAYEISHI KIJIJINI

Ni kawaida kukuta maisha wanayoishi Wanasiasa ni tofauti na wapiga kura wao lakini sio hivyo kwa Rais wa Uruguay ambae anaishi kwenye maeneo ya mashambani na anatoa sehemu kubwa ya kipato chake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Jumanne ya Disemba 13,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jeshi la Polisi Kutoa Tamko lake Leo Kuhusu Kauli ya Mzee wa Upako Kuwa...

Siku moja baada ya Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu Mzee wa Upako kusema waandishi waliomuandika vibaya watakufa kabla ya Machi 2017, Jeshi la Polisi linatarajia kutoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Yacharuka Suala la Maiti 7 Kuokotwa Mto Ruvu........Waziri Mkuu Atoa...

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Jeshi la Polisi kufanya upelelezi kuwabaini waliohusika na mauaji ya watu saba ambao miili yao iliokotwa pembezoni mwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BONDIA FRANCIS CHEKA AMEONDOKA JANA KWENDA INDIA KUWANIA UBINGWA WA WBO

Francis Cheka na Promota wake Jay Msangi BONDIA Francis Cheka, ameondoka nchini jana kuelekea india ameambatana na kocha wake Abdalah Salehe "komando"na promota wake Jay Msangi anatarajia kupanda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MMILIKI wa Mtandao wa Jamii Forums Maxence Melo Akamatwa na Polisi...Anyimwa...

DAR: Mwanzilishi wa Mtandao wa JamiiForums, Maxence Melo akamatwa na Polisi kwa kukataa kutoa taarifa za siri za watumiaji wa mtandao huo.Anyimwa dhamana atakaa rumande mpaka kesho atakapofikishwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MREMBO Sanchoka: ‘Nilimuokota’ Idris Sultan Kwenye Apartment Sauzi,...

MODO mwenye figa la kuvutia anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya urembo, Sanchoka yeye hupenda kujiita Sanchi ameanika namna ambavyo alikutana na anayedaiwa kuwa mpenzi wake kwa sasa, Mshindi wa Big...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAJALA SIO WA SPOT SPOT, AWATOLEA POVU WANAOCHONGA JUU YAKE

Staa wa Bongo Movie Kajala Masanja amewatolea mapovu watu fulani ambao wanamsakama na kumuhushisha katika mahusiano ya kimapenzi na X WAKE - Petitman Wakuache.Akitumia page yake ya Instagram Kajala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIBONZO VILIVYOTIKISA LEO MTANDAONI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BIFU la Alikiba na Dully Sykes...Alikiba Afunguka Haya

Mkali wa wimbo Aje Alikiba baada ya kuondoka na tuzo tatu za EATV, amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na msanii mkongwe wa muziki na producer, Dully Sykes.Hatua hiyo imekuja kutokana na kuenea...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live