Wasanii wa muziki, filamu pamoja na wadau mbalimbali wa burudani nchini wamejitokeza kwa wingi katika usiku huu wa Tuzo za EATV hapa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Jux akiwa Vanessa

Mgeni rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye ameshawasili katika ukumbi huu kushuhudia utowaji wa tuzo hizo.
Jumla ya tuzo 10 zinatarajiwa kukabidhiwa kwa wasanii wa muziki na filamu nchini usiku huu.
Hizi ni baadhi ya picha za red carpet.
Joh Makini


