IRENE Uwoya Afunguka Haya Baada ya Gazeti Moja Kudai Anamchukia Wema Sepetu
Baada ya gazeti la Ijumaa kutoka na stori “Uwoya: Simpendi Wema” katika ukurasa wake wa mbele, muigizaji wa filamu Irene Uwoya amekanusha madai hayo kupitia ukurasa wake wa instagram.Pia muigizaji huyo...
View ArticleMkuu wa Wilaya ya Mvomero Alia na 'Utapeli' Vyeti vya Ndoa
Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Mohamed Utali ametoa agizo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo, Florent Kyombo kutomhamisha mwalimu yeyote kwa kigezo cha cheti cha ndoa. Alisema baadhi wanaghushi...
View ArticleAjali Mbaya ya Lori na Hiace Yaua Watu 9 na Kujeruhi 18 huko Ifunda Iringa
Watu tisa wamefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Ifunda mkoani Iringa jana baada ya lori kugonga gari dogo la abiria aina ya Toyota Hiace. Mkuu wa Mkoa wa...
View ArticleJiji la Dar es Salaam Lashika Nafasi Ya 6 Barani Afrika Kwa Maambukizi Ya Ukimwi
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.Mbali na jitihada za makusudi za Serikali na wadau wa mapambano dhidi ya UKIMWI nchini bado hali siyo ya kuridhisha ambapo Jiji la Dar es Salaam linashika nafasi ya Sita...
View ArticleDAVIDO ASEMA HAYA KUHUSU POST HII YA DIAMOND PLATNUMZ
Kwa Davido, Tanzania itaendelea kukaa katika nafasi muhimu sana moyoni mwake.Katika wakati ambao wengi tunadhani ameisahau, hitmaker huyo wa How Long, ameibuka na kuthibitisha kuwa bado ana mapenzi...
View ArticleOP 5 ya Wasanii wa Bongo Waliomake Mkwanja Mrefu Kwa Huu Mwaka 2016
1.DiamondHuu jamaa katengenza hela nyingi sana mwaka kuanzia kwny endorsement zake, show, kuuza mziki kwny digital platform plus label yake inayomwingzia mkwnja day after day2.A.YJapo jamaa hategemei...
View ArticleMzee wa Miaka 75 Ameweka Bango Lenye Sifa za Mke Anayemtaka, Katikati ya Mtaa...
Mzee wa miaka 75 nchini Tanzania ameweka bango lenye sifa za mke anayemtaka, katikati ya mtaa anaoishi.Athuman Bakari Mchambua mkazi wa Dar es Salaam amechukua hatua hiyo baada ya kifo cha mke...
View ArticleBREAKING NEWZZ:Hatimaye Diamond na Zari Wamepata Mtoto wa Kiume Leo Tarehe 6...
Ni good news nyingine kwa msanii wa Bongofleva Diamond Platnumz ambaye leo December 6 2016 mpenzi wake Zarina Hassan amefanikiwa kujifungua mtoto wake wa pili, Zari na Diamond wamepata mtoto wao wa...
View ArticleALICHOANDIKA Darassa Baada ya Dereva Kukamatwa Akicheza Wimbo Wake Huku...
Msanii wa Bongofleva Darassa ambaye kwa sasa anafanya vizuri na hit single ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Muziki’ ameamua kuweka wazi mtazamo wake kuhusu ile video iliyosambaa ikionesha vijana wakicheza...
View ArticleOMMY DIMPOZ ASEMA HAYA BAADA YA DIAMOND KUPATA MTOTO WA PILI
msanii wa Bongofleva Diamond Platnumz ambaye leo December 6 2016 mpenzi wake Zarina Hassan amejifungua mtoto wake wa pili.Soudy Brown amepiga story na Meneja wa Diamond Sallam kuhusu Diamond kupata...
View ArticleWimbo wa Darasa 'Muziki' Waufunika wa Diamond Salome
Kulingana na jinsi watu walivyopokea wimbo mpya wa darasa 'muziki' katika maeneo mbali mbali nchini, wimbo wa Diamond wa 'Salome' umekufa kifo cha mende..yani hausikiki tena...Yani kila mahali ni wimbo...
View ArticlePUMZIKA KWA AMANI BRO ORESTO MBONDE "DINGI"
We missed u bro Oresto Mbonde "Dingi" nakumbuka tukiishi pamoja Mazimbu na Kihonda uliponiacha na Morogoro mm nilikuja kuishi kwa ushawishi wak.So sad huwa bado siamini kama hatuko wote,mama pia bado...
View ArticleMZEE WA MIAKA 73 TATU DAR ATAFUTA MKE KWA KUWEKA BANGO LA TANGAZO MTAANI
Katika hali isiyo ya kawaida mzee mwenye umri wa miaka 75, Athuman Mchambua, mkazi wa Mtoni kwa Azizi Ally jijini Dar es Salaam amezua gumzo mtaani baada ya kuamua kutafuta mke kwa kuweka bango...
View ArticleTrump akataa ndege mpya ya Air Force One
MAREKANI: Donald Trump ametangaza nia ya kusitisha uagizaji wa ndege 2 mpya za Rais(Air Force One). Adai bei iko juu na huenda imezidishwa.Ndege hizo ambazo gharama zake ni takribani dola za Marekani...
View ArticleSERIKALI YAOMBWA KUWAPATIA BIMA YA AFYA WALEMAVU WA NGOZI
Muweka hazina wa Chama cha Watu wenye Ualbino Tanzania, Abdilah Omari akiwa pamoja Leonard Gasper anayesumbuliwa na tatizo la kansa na kumpatia msaada wa kiasi cha fedha milioni moja kwa ajili ya...
View ArticleMAREHEMU Wanaodaiwa Mikopo HESLB, Kusamehewa
Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) pamoja na na Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi imejikuta ikitoa taarifa zinazokinzana kuhusu wadaiwa wa mikopo ya elimu ya juu ambao...
View Article