LORI LAPATA AJALI MLIMA WA SEKENKE MKOANI SINGIDA
Lori likiwa limeanguka baada ya kupata ajali mlima wa Sekenke mkoani Singida mchana wa leo.Picha kwa hisani ya mdau Benjamin Kasenyenda AndongolileAjali hiyo inadaiwa ilitokana na madereva mmoja wapo...
View ArticleJE UNATAFUTA MPISHI WA SHEREHE YAKO?? UMEMPATA MAMA G.CATERING SERVICES NI...
KWA CHAKULA CHENYE UBORA NA LADHA NZURI. VYOMBO VYA KISASA. WAPISHI WAZOEFU NA WAHUDUMU WACHANGAMFU.OFISI ZETU ZIPO KARIAKOO MTAA WA MUHONDA NA DDC.TUNATOA HUDUMA YA KUSAMBAZA LUNCH MAOFISINI. HARUSI....
View ArticleZARI Athibitisha Yeye na Mama Mkwe Wake Bado Zinaiva
Kuliwahi kuwepo uvumi kuwa Zari na mama yake Diamond Platnumz hawaelewani.Tetesi hizo zilikuwa kubwa zaidi hivi karibuni baada ya Bi. Sandra kumchunia Zari kumpongeza kwenye siku yake ya kuzaliwa...
View ArticleBREAKING NEWS : NDEGE NYINGINE YAANGUKA IKIWA NA ABIRIA 47
Islamabad, Pakistan. Ndege ya Shirika la Pakistan imeripotiwa kuanguka kaskazini mwa nchi hiyo ikiwa na abiria 47 muda mfupi baada ya kuanza kuruka.Taarifa za maofisa wa polisi zimesema kuwa ndege hiyo...
View ArticleFAHAMU MAANA YA BRAND NA NAMNA UNAVYOWEZA KUJI-BRAND
Na Lewis Mbonde +255 658 194194Kama unataka kuanzisha biashara, au umekwisha anzisha, basi hii mada inakuhusu. Na hata unataka kuajiriwa au unatafuta kazi bora zaidi uliyonayo, ni jambo la msingi kujua...
View ArticleMFAHAMU MC ELLY NGWALA
JINA LANGU NI ELLY HEZRON MWAIFWANI NI MAARUFU KWA JINA LA MC ELLY NGWALA KAMPUNI YANGU INAJULIKANA KWA JINA LA ELLY NGWALA ENTERTAINMENT,  NI KAMPUNI YA KIZALENDO KUTOKA NCHINI TANZANIA,...
View ArticlePICHA:MTOTO ALIYEENDA KUOMBA KWENYE GARI ALIBUBUJIKWA NA MACHOZI BAADA YA...
Mtoto aliyeenda kuomba kwenye gari alibubujikwa na machozi baada ya kugundua aliyekuwa anamuomba amewekewa oxygen ili kuokoa maisha yake.*** Umejifunza nini hapa?
View ArticleMTOTO WA KIUME WA DIAMOND APEWA JINA HILI.LAWA GUMZO MTANDAONI
Siku chache baada ya star mwimbaji Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari kupata mtoto wa pili ambaye alizaliwa December 6 2016 tayari mtoto huyo ameanza kuzichukua headlines baada ya tu kupewa jina na...
View ArticleLIVE: Tazama Hapa Sherehe za Miaka 55 ya Uhuru Kutoka Uwanja wa Uhuru Jijini...
Tazama Hapa Sherehe za Miaka 55 ya Uhuru Kutoka Uwanja wa Uhuru Jijini Dar. Mgeni Rasmi ni Rais Magufuli BOFYA HAPA KUONA
View ArticleZARI KIBOKO SHUHUDIA ALIVYOINGIA MTAANI SIKU MBILI TU BAADA YA KUJIFUNGUA
Back at it! Zari Hassan has left many talking after she was pictured preparing meals for her man a few hours after delivering her son, Raiz.The mum of 6 chose not to laze around waiting to heal, as...
View ArticlePRINCE RIAZ MTOTO WA DIAMOND AWA GUMZO MTANDAONI
Prince Riaz mtoto wa pili wa Diamond aliyezaa na Zari mwenye jumla ya watoto watano hadi sasa aanza kupagawisha watu kwenye mitandao ya kijamii. Star mpya Afrika Mashariki huyu mwenye siku 3 tu toka...
View ArticleUTAFITI MPYA HII NDIO IDADI YA WANAUME WANAOPIGWA NA WAKE ZAO,WANAUME 45...
WANAUME 45 walio kwenye ndoa wilayani Nkasi katika Mkoa wa Rukwa wamevunja ukimya wakidai kupigwa na kutelekezwa na wenzi wao, imebainika.Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Polisi Dawati la Jinsia na Watoto...
View ArticleHAWA NDIO VIONGOZI WANAO ONGOZA KWA KULIA HADHARANI DUNIANI
BARACK OBAMARais wa Marekani aligonga vichwa vya habari alipotokwa na machozi alipokuwa akiwahimiza Wamarekani wakubali mabadiliko kwenye masharti ya uuzaji wasilaha Marekani. Alizidiwa na hisia...
View ArticleWASANII Watano Matajiri Kupita Wote Afrika Watajwa..Mtanzania Mmoja Yupo...
Mara nyingi tumezoea kuona list za wasanii wakubwa wakitajwa kuingiza pesa nyingi zaidi Afrika, wiki hii imetoka list iliyoandikwa na eDaily kupitia ripota Brian Okoth ambayo imewataja wasanii watano...
View Article