BONGO MOVIE YAPATA PIGO,JB NAE AACHA KUIGIZA
Msanii wa siku nyingi wa bongo movie JB amestaafu kuigiza bongo movie, hii imesikitisha sana wadau wa sanaa, kuanzia mashabiki hadi wasanii wenzake..
View ArticlePICHA: SAFARI YA MWISHO YA FIDEL CASTRO WA CUBA
Mwili wake wa aliyekuwa Rais wa Cuba umechomwa moto hadi kuwa majivu kama alivyotaka, katika sherehe ya kibinafsi, na majivu yake yamezungushwa katika msafara maalumu kote nchini kabla ya kuzikwa...
View ArticleRais Magufuli na Mkewe wachangia Sh. Mil 5 Matibabu ya Mtoto Haidari Bonge...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wametoa mchango wa Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya kusaidia matibabu ya mtoto Haidari Bonge mwenye umri wa...
View ArticleGIGY Money Adai Alikiba Alikuwa Anamhonga Vizuri Kuliko Wanaume Wengine
Video queen Gigy Money amedai kati ya wanaume wake wote hawezi kumsahau Alikiba, kwani muimbaji huyo wa Aje ndiye mwanaume wake ambaye alikuwa anamhonda vizuri kuliko wanaume wake wengine.Akiongea na...
View ArticleBIFU la Jokate na Flavian Matata Linapamba Moto Chinichini, Kisa?
Bifu la Jokate na Flavian Matata linazidi kukua siku baada ya siku. Chanzo ni Jokate kuiba idea ya Flavi ya kutengeneza mabegi ya mgongoni kisha kutangulia sokoni. Sasa imebaki ni vijembe mtindo mmoja...
View ArticleYUSUPH Manji Atimuliwa Jengo la Quality Plaza. Apewa Saa 24
MAKAMPUNI yaliyo chini ya mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuf Mehbub Manji, yamepewa saa 24 yawe yameondoka katika jengo la PSPF PLAZA, zamani likijulikana kama Quality Plaza, vinginevyo yatang’olewa...
View ArticleMAMBO Yanayoshusha Thamani ya Mwanaume Mbele ya Mwanamke
Katika uhusiano baina ya mume na mke hutokea mambo mbalimbali yanayoimarisha uhusiano baina yao au kuuharibu. Baadhi ya nyakati mwanaume hufanya baadhi ya mambo yanayomshusha thamani mbele ya mwanamke....
View ArticleWaziri Mkuu Akabidhi Pikipiki 200 Kwa Vijana wa Arusha ..........Asema...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli inasimamia nidhamu ya kazi na heshima kwa wananchi, hivyo kutaka kila mmoja atimize wajibu wake.Aidha, imeonya kuwa...
View ArticleBONDIA CHEKA AGAWA TUZO YAKE KWA WAOKOTA CHUPA MITAANI NA WAFUNGWA MAGEREZANI.
 Mwandishi wa Mtandao huu[kulia] akiwasiri nyumbani kwa bondia Maarufu Nchini Francis Cheka 'SMG' maeneo ya Kilima Hewa Manispaa ya Morogoro juzi. Cheka kushoto] akiwa na familia yake Mkewe Tosha...
View ArticleMchezaji wa Mbao FC afariki baada ya kugongana na mchezaji wa Mwadui FC
Mshambuliaji wa timu ya vijana ya Mbao FC U-20 Ismail Mrisho Khalfan anayevalia jezi nambari 4 amefariki Dunia jana jioni baada ya kuanguka uwanjani Kaitaba wakati wa mtanange wao dhidi ya timu ya...
View ArticleMwanafunzi wa darasa la 5 Ajinyonga
Mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Kizota mjini Dodoma, Yasin Abdallah (13) amekutwa amejinyonga bafuni nyumbani kwao baada ya kuchukizwa kufanya vibaya kwenye masomo yake. Kaimu...
View ArticleMzee wa Upako: Tajeni nilikunywa pombe gani na Katika Baa Gani
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ baada ya kudaiwa kumfanyia fujo jirani yake ameendelea kujibu madai hayo kwa mtindo wa ‘kudonoa donoa’ na jana aliwataka wanaodai...
View ArticleZARI Amejifungua? Diamond Aandika Ujumbe Huu Instagram Akielekea SA Akiwa na...
Diamond Platnumz weekend hii amepost picha instagram akiwa safarini na Mama yake kuelekea Afrika Kusini huku kwenye picha hiyo akiwa ameandika ujumbe ambao unaonyesha huwenda mpenzi wake Zari...
View ArticleNISHA: Mimba Hii Ingekuwa ya Baraka The Prince Inge.........
Nyota wa filamu nchini ambaye siku za karibuni amekuwa akihaha na ujauzito alionaonao bila kumuweka wazi muhusika, amekanusha kuwa ujauzito huo ni wa msanii Baraka The Prince.Nisha Baby amefunguka...
View ArticleMZIKI ya Darassa ilivyogeuka Wimbo wa Taifa Ndani ya Wiki Moja
Hii hutokea kwa nadra sana na tena kwa wasanii wachache tu wenye ngekewa zao. Kama ni soka, basi Darassa amepiga hat-trick. Kama Utanipenda, Too Much na Muziki ni nyimbo zilizobadilisha upepo katika...
View ArticleDEREVA WA BASI LA ABIRIA ALIYEACHIA USUKANI AKICHEZA WIMBO WA DARASA AKAMATWA
Yule Dereva aliyepagawa na nyimbo Mpya ya Darasa na kisha kuacha kuendesha Gari na kisha kuanza kucheza mziki huo huku gari hilo likiwa kwenye mwendo akamatwa na Polisi..Hawa ndio wahusika walio kuwepo...
View Article