Mastaa wa Bongo Waliouaga Ukapera Mwaka Huu
MAISHA ya mastaa ulimwenguni mwote yamejaa anasa na starehe kwa sana. Mawazo ya kuoa au kuolewa hayapewi nafasi kubwa vichwani mwa wengi.Hata hivyo kwa mastaa wa mbele, imekuwa kawaida kwao kuoana ndoa...
View ArticleSina Tabia Kutoka na Vijana Wadogo -Snura
Msanii wa muziki wa bongo fleva na filamu nchini Snura Mushi amefunguka na kusema kuwa yeye hana tabia ya kutoka kimapenzi na watoto wadogo kama baadhi ya wasanii wengine wa kike au watu maarufu...
View ArticleTAZAMA PICHA HIZI ZA VICHEKESHO UCHEKE UONGEZE SIKU ZA KUISHI
Bwana Irineu Cruz na mke wake Jucicleide Silva wako na watoto 13 kama unavyowaona kwenye picha hii. Wanasema kwa miaka 20 wamekuwa wakijaribu kupata mtoto wa kike lakini hawajafanikiwa na hivyo sasa...
View ArticleKuteleza si kuanguka: Ray C apata matumaini mapya ya maisha
Rehema Chalamila, Ray C ameanza kuwa na matumaini mapya kwenye maisha yake baada ya kuonekana kuwa na afya njema tangu alipotoka rehab kwa ajili ya kuachana na matumizi ya unga.Muimbaji huyo alikuwa na...
View ArticleHivi Ndivyo Muziki wa Singeli ulivyogeuka dhahabu ndani ya kipindi kifupi
Nilianza kuusikia muziki wa Singeli mwaka na nusu uliopita na zaidi kwenye Bajaj nilizokuwa napanda. Sikuuelewa kabisa muziki huu na mara nyingi niliona ukinipigia kelele tu. Nilikuwa najiuliza ni kipi...
View ArticleMbunge wa Tarime John Heche Ashawishi Bunge Kuridhia Posho za Kikao cha leo...
Mbunge wa Tarime John Heche (UKAWA-Chadema) amefanikiwa kulishawishi bunge kuridhia posho za leo tarehe 13 za wabunge zipelekwe kagera kwa wahanga wa Tetemeko.Katika hoja yake mbunge huyo machachari...
View ArticleMaster J aliniambia sijui kuimba β Harmonize
Mkali wa wimbo βBadoβ Harmonize amefunguka na kuelezea harakati zake za muziki mpaka anafika kwenye mafanikio huku akiweka wazi jinsi alivyoambiwa hajui kuimba na Master J katika shindalo la...
View ArticleMajaliwa achangisha Sh1.4 bilioni kusaidia waathirika wa tetemeko Kagera
Dar es Salaam. Shilingi 1.4 bilioni zimekusanywa katika harambee iliyoandaliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ili kusaidia waliopata maafa ya tetemeko la ardhi mkoani Kagera Jumamosi iliyopita.Kiasi...
View ArticleWakurugenzi Wapya 13 Waapishwa.....Watakiwa kufuatilia maagizo ya viongozi
Wakurugenzi wapya 13 wa halmashauri wameapa kulinda maadili na kukabidhiwa majukumu ya kufuatilia maagizo ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu, kwenye maeneo yao na kutoa mrejesho wa hatua za...
View ArticleWanafunzi Wacharaza Viboko Walimu Wao ........Mmoja Ang'olewa Meno Matano,...
Waziri wa Elimu, Prof Joyce NdalichakoWawanafunzi wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondari Usevya wilayani Mlele Mkoa wa Katavi, wanadaiwa kuwashambulia kwa kuwacharaza viboko walimu wao wawili miongoni...
View ArticleDIAMOND Msamehe Baba'ko, Mbona Q-Chief Aliweza?
Ni kweli inauma mno kutelekezwa na mzazi. Mimi ambaye baba na mama yangu walinilea kwa umoja wao pamoja na umaskini wetu, huwa nawaza ingekuwaje baba au mama asingekuwa karibu yangu? Malezi ya mzazi...
View ArticleAGNESS MASOGANGE ATO MITUSI BAADA YA WATU KUMTEMEA POVU NA NGUO YAKE YA AJABU
Agnes amwaga Povu Kuhusu Watu Kukosea nguo yake baada ya kuonekana akificha kitu sehemu yake ya mbele!!! Aandika mazito na matusi juu...soma hapa..ππππ.By @officialagnes1 - Sikien nyie makuma mnaojua...
View ArticleBarakah Da Prince akiri kimombo kwake bado ni tatizo, aanza mpango wa...
Msanii wa muziki Barakah Da Prince amekiri kuwa lugha ya Kiingereza kwake ni tatizo huku akiweka wazi mpango wa kutafuta mwalimu wa kumfundisha.Muimbaji huyo ambaye ameachia wimbo βNisameheβ hivi...
View ArticleMahakama kutoa uamuzi malalamiko kesi mauaji ya dadake Billionea Msuya
By James Magai, Mwananchi jmagai@mwananchi.co.tzDar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu itatoa uamuzi wa malalamiko ya washtakiwa wa mauaji ya dada wa bilionea Erasto Msuya, mnamo Septemba...
View ArticleMtaalam: Tetemeko la ardhi halina uhusiano na kupatwa kwa jua
Mjiolojia mwandamizi wa wakala wa jiolijia Tanzania, Gabriel Mbogoni, amefafanua kuhusu sintofahamu iliyopo ambapo baadhi ya wananchi wanadhani kutokea kwa tetemeko la ardhi kumekuja kutokana na...
View ArticleEdward Lowassa ampongeza Rais Magufuli
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa amempongeza Rais Magufuli kwa kuondoa urasimu katika taasisi za serikali na kusema hiyo itasaidia kurejesha utendaji...
View Article