Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

TAZAMA PICHA HIZI ZA VICHEKESHO UCHEKE UONGEZE SIKU ZA KUISHI

$
0
0




Bwana Irineu Cruz na mke wake Jucicleide Silva wako na watoto 13 kama unavyowaona kwenye picha hii.
Wanasema kwa miaka 20 wamekuwa wakijaribu kupata mtoto wa kike lakini hawajafanikiwa na hivyo sasa wanasema wataendelea kujaribu hadi pale watakapopata binti
Watoto wao wote wa kiume tayari wametosha kuwa timu moja ya kandanda.
 

Watu wanapanda juu ya treni ili kurudi nyumbani mapema kusherehekea sikukuu ya Idi el Haji huko Dhaka Bangladesh.
 

AKIKATAA KULIPA, NA WEWE NDIO KINYOZI, UNGEFANYA VIPI?

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles