Prof Ndulu Gavana wa BOT Afichua Siri ya Kilio Cha Fedha Kupotea Mtaani
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Benno Ndulu jana alitolea ufafanuzi hali ya kiuchumi nchini huku akieleza siri ya kilio kinachovuma cha fedha kupotea mtaani na nyingine zikidaiwa...
View ArticleWatu 5 mbaroni kwa makosa ya mtandaoni
VIJANA watano wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumdhalilisha Rais Dk. John Magufuli na Jeshi la Polisi kutokana na mauaji ya askari polisi wanne waliouawa na majambazi katika eneo la Mbande na...
View ArticleFaiza Ally Afunguka Kumpenda Sugu Kutoka Moyoni..Adai Haogopi Kuchekwa Kwa...
Faiza Ally Amefunguka haya Katika ukurasa wake wa Instagram:Leo nimeamka akili yangu inawaza mapenzi tu... Mkatae mkubali mapenzi yana nafasi kubwa sana ktk maisha... Na mapenzi hayana baunsa...😅 Mimi...
View ArticleNamanga: Edward Lowassa asimamishwa na wananchi wamweleze ugumu wa maisha
Mh Edward Lowassa Mjumbe wa kamati kuu wa chama Cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA ) na Chama kikuu cha Upinzani TANZANIA na Waziri Mkuu mstaafu amesimamishwa na Wananchi wa Namanga Mpakani mwa...
View ArticleCongo DRC: Waasi wa Mai Mai wamewateka madereva 5 wa Tanzania, wanataka $...
KUNA TAARIFA KUWA waasi wa Mai Mai wamewateka madereva wa Tanzania watano na kuchoma baadhi ya magari. Wanadai usd 4000 kwa kila Dereva amasivyo watawapiga risasi. Wametoa deadline ya majeshi kuondoka...
View ArticleUtafiti wa Twaweza: Watazania 96% wanampongeza Rais Magufuli
Taasisi inayojishughulisha na kufanya tafiti mbalimbali nchini ya TWAWEZA. Leo imetoa ripoti inayoonyesha kuwa asilimia 96 ya Watanzania wapongeza utendaji wa Rais Magufuli, huku asilimia 68 wapongeza...
View ArticleKanitafutia Kazi Sasa Nimekua Mtumwa wa Ngono Kwake
Hi guys, niaje?Ni miezi miwili sasa tangu nimeacha kazi kampuni ya zamani, na sasa nipo kwenye kampuni nyingine, hii kazi mpya nimetafutiwa na Boss wangu ambae ndie mkuu wa idara yetu, nimepanda cheo...
View ArticleMATUKIO YA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
Spika wa Bunge la Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiingia katika ukumbi wa Bunge kuongoza kikao cha saba cha bunge la kumi na moja leo mjini Dodoma. BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleSERIKALI ITAHAKIKISHA WALIOTEKWA NYARA KONGO WANAPATIKANA WAKIWA SALAMA
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Mindi KasigaNa. Immaculate Makilika- MAELEZO.Serikali imesema kuwa inashirikiana...
View ArticleESMA PLATNUMZ ALUSHA DONGO GIZANI KWA WANYAKUNYAKU
Dada wa Diamond ameamua kufunguka ya moyoni na kudai anampenda sana mume wake Petit Man ambae walitengana kwa muda kutokana na kutokuelewa hapa na pale lakini kwa sasa inaonekana wameweka mambo...
View ArticleMbongo Flava Billnass Awa Lulu , Label Kubwa za Mziki Zamgombania Bongo
Msanii wa muziki wa Hip Hop anayefanya vizuri na wimbo ‘Chafu Pozi’ Billnas amesema yupo kwenye mazungumzo ya kuhamia katika label kubwa ya muziki hapa nchini hivi karibuni.Rapper huyo ambaye kwa sasa...
View ArticleRubby Atangaza Kujisimamia Mwenyewe Baada ya Kutemana na Clouds FM, Adai...
Msanii wa Bongo Fleva, mwanadada Ruby ambaye amewahi kutamba na wimbo wake wa “Na Yule’ amefunguka na kusema kwa sasa amebadili uongozi wake na kujisimamia yeye kwani anataka kusimama yeye pamoja na...
View ArticleKijana Singida anyofolewa ulimi na mke wa jirani yake wakati ‘wakikiss’
Mkazi wa Mandewa, Manispaa ya Singida, Said Mamba (24), amelazwa katika hospitali ya mkoa mjini Singida baada ya kung’atwa theluthi tatu ya ulimi wake na mwanamke waliyekuwa wakinyonyana ndimi. Tukio...
View ArticleUpdate: Watanzania Wenzetu Waliokuwa Wametekwa huko DRC Congo Wameokolewa
Madereva wa malori kutoka Tanzania waliokuwa wametekwa katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hatimaye wameokolewa na vikosi vya jeshi la nchi hiyo.Waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo...
View ArticleShilole Aeleza Kilichomsukuma Kupatana na Nuh Mziwanda
Baada ya hivi karibuni Sholole na Nuh Mziwanda kupatana, Shilole amefunguka na kuzungumzia nini kimemsukuma mpaka akapatana na mkali huyo wa wimbo ‘Jike Shupa’.Wawili hao ambao walikuwa wapenzi...
View ArticleUTAFITI:Faida za Kiafya Kwa Wanawake Wenye Makalio Makubwa Hizi Hapa
Licha ya mvuto yaliyonayo yakiwa kwenye jinzi, makalio makubwa ya wanawake ni kinga kwa kisukari na magonjwa ya moyo.Wataalamu wa afya wanadokeza kwamba makalio ni muhimu kwa afya ya binadamu kwani...
View Article