$ 0 0 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameongoza maelfu ya wananchi wa Manispaa ya Bukoba mjini kuaaga miili ya watu 16 waliofariki kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea Jumamosi, 10 Septemba, 2016 mkoani Kagera.BOFYA HAPA MC DR CHENI BLOG KUSOMA ZAIDI