Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jeshi la Polisi Lapiga Marufuku mikutano ya Ndani ya Vyama vya Siasa

Kutokana na matukio ya kiuhalifu yanayoendelea katika baadhi ya maeneo nchini, leo August 25 2016 Jeshi la Polisi limepiga marufuku mikutano yote ya kivyama ndani na nje ili kuzuia machafuko ya amani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUME WA KAJALA KUPAMBANA NA MICHEPUKO YA MKEWE

Baada ya mume wa muigizaji Kajala Masanja, Faraji Chambo kufutiwa mashtaka ya kubadilisha umiliki wa nyumba iliyokuwa na zuio la Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (Takukuru), ubuyu mpya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Majambazi Yaua Polisi 4 Mbande Dar es Salaam usiku wa Kuamkia Leo

Jeshi la Polisi limethibitisha kuwa jumla ya askari wake wanne wameuawa usiku wa kuamkia leo baada ya majambazi kuvamia tawi la benki ya CRDB lililopo Mbande, wilayani Temeke, Dar es Salaam.Akizungumza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jeshi La Polisi Lahusisha Mauaji ya Polisi Wanne na Sakata la Oparesheni...

KUFUATIA mauaji ya askari wanne yaliyotokea Kata ya Mbande Temeke kwa watu wanaodhaniwa ni majambazi kuvamia benki ya CRDB na kuwaua askari hao kwa kutumia silaha za moto jeshi la Polisi limetangaza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ufafanuzi Kuhusu Wasiokopeshwa Mikopo Na HESLB Kudaiwa

1.0   UTANGULIZIKumekuwepo na taarifa zilizotolewa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, hasa gazeti la Jamboleo toleo namba 2541 la 23 Agosti, 2016 kuhusu Bodi ya Mikopo kuwadai...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Amuapisha Mkurugenzi Mkuu Mpya Wa Idara Ya Usalama Wa Taifa

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe magufuli akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis Kapilimba akila kiapo cha maadili ya viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kingunge Ngombale Mwiru Avunja Ukimya.......Amtaka Mkapa na Ali Hassan Mwinyi...

Aliyekuwa kada wa CCM, Kingunge Ngombale Mwiru  amewaomba  marais wastaafu, Rais Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa kuzungumza na Rais John Magufuli ili aitishe kikao kati ya Serikali na Chadema kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Oparesheni UKUTA: Msajili wa Vyama Aitisha Mazungumzo ya Siku Mbili Kwa Vyama...

MSAJILI wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, ameitisha Baraza la Vyama vya Siasa ili kunusuru mvutano uliojitokeza kati ya Jeshi la Polisi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).Jaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mr Blue: Barakah na Naj walitaka kunivunjia ndoa yangu

Mr Blue amekiri kuwa skendo yake kuwa amekuwa akiwasiliana na ex wake, Naj ambaye kwa sasa ana uhusiano na Barakah Da Prince ilitaka kuivunja ndoa yake.Akiongea na Clouds FM, rapper huyo wa ‘Mboga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Busu la Nelly Kamwelu shavuni kwa Diamond akiwa na Wizkid lawatoa povu...

Haipiti wiki bila Diamond kuwatoa povu mashabiki, hata kama alichokifanya si kwamba alidhamiria.Jumanne hii hitmaker huyo wa ‘Kidogo’ alipost video akiwa na starboy, Wizkid. Haijulikani wamekutana Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Witness: Nimejichora tattoo kiunoni ili nisisaliti ndoa yangu

Msanii hip hop hapa nchini, Witness aka Kibonge Mwepesi, ameitaja sababu ya kujichora tattoo ya jina la mpenzi wake Ochu Sheggy kwenye kiuno chake.Akiongea katika kipindi cha E-News cha East Africa TV,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA NDIO MAZOEZI YA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

 PICHA ZOTE KWA HISANI YA MBEYA YETU

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZOEZI YA JESHI LA POLISI TANZANIA SASA HIVI KILA MAHALI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI DAR WAANZA MAZOEZI YA UKAKAMAVU

POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imeanza mazoezi ya ukakamavu katika Mkoa wa Kipolisi wa Temeke kwa lengo la kudhibiti uhalifu.Akizungumza Dar es Salaam jana baada ya mazoezi hayo, Kamanda wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Man Fongo Awachimba Mkwara wa Bongo Fleva

Kwa kasi iliyopo kwenye muziki wa Singeli, ni wazi kwamba unaelekea kuupoteza muziki wa Bongo Fleva kutokana na kasi ya kuenea kwake hapa nchini, jambo linalosisitizwa na mkali anayetesa katika muziki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shilole azungumzia bifu la Bill Nas na TID

Baada ya TID kudai kuwa Bill Nas hana shukrani, Shilole ameibuka na kumtetea rapper huyo wa label mpya,  ‘LFLG’.Bado Bill Nas amekuwa akisema kuwa aliondoka Rada bila tatizo.Akiongea na Perfecto TV,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TLP: Mtengeni Maalim Seif hadi atakapoitambua serikali

Chama cha Tanzania Labour(TLP) kimemuandikia barua Rais wa Mapinduzi wa Zanzibar, Dk Mohamed Ali Shein na kumtaka kuanzia sasa wamtenge Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kwa kutomualika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond Platnumz aikataa Mimba ya Lynn LIVE

Msikilize Diamond Platnumz Akikana kabisa kuwa na mahusiano na Mrembo Lynn, Adai hana mawasiliano naye na wala hawajawahi kumuona tena toka alivyofanya video ya Kwetu na Raymond..Msikilize Hapa chini: 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Romy afunguka Diamond kutokufika kwenye birthday yake

BAADA ya hivi karibuni ndugu wa Mwanamuziki, Nasibu Abdul ‘Diamond’, kufanya sherehe ya siku yake ya kuzaliwa na kuhudhuriwa na mastaa kibao isipokuwa msanii huyo na kudaiwa kuwa wana bifu, Romy Jones...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA DAR PAUL MAKONDA AIBIWA SIMU JANA

Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salamm, Paul Makonda ameibiwa simu jana baada ya kufanya kikao na waandishi wa habari alipokuwa na balozi wa Korea nchini na aliporudi ofisini na kutaka kumpigia mtu simu ndio...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live