Wema Sepetu ampigia magoti Idris Sultan
Uhusiano wa Wema Sepetu na Idris Sultan unaanza kutukumbusha ule wa Chris Brown na Karrueche Tran ule wazungu wanauiita ‘off and on.’Baada ya hivi karibuni kuzinguana tena hadi kumfanya Idris ajiondoe...
View ArticleUbishoo Kwenye Muziki Niliuanzisha Mimi – Mr Blue
Mr BlueMkali wa wimbo ‘Mboga Saba’ Mr Blue amesema yeye ana mchango mkubwa katika mabadiliko ya muziki wa bongofleva nchini.Akiongea katika kipindi cha Ndoto Kubwa cha Clouds TV Jumapili hii, Mr Blue...
View ArticleJeshi la Polisi Lamkamata Kijana akiuza fulana za UKUTA.......Latoa Onyo Kali...
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema limejiandaa kudhibiti maandamano ya Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania (Ukuta) yaliyoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
View ArticleTaarifa ya Jeshi la Polisi Kwa Vyombo Vya Habari
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwepo na mitazamo tofauti miongoni mwa jamii kufuatia kuonekana kwa askari polisi wakifanya mazoezi katika maeneo mbalimbali hapa nchini.Kufuatia hali hiyo, jeshi la...
View ArticlePicha: Jeshi la polisi mkoa wa Singida likifanya majaribio ya silaha
Baadhi ya askari polisi mkoani Singida, wametembeza silaha zao kwenye mitaa mbalimbali Singida mjini, kwa ajili ya kuwaonyesha wananchi silaha zilizonunuliwa kwa kodi zao. Kaimu Kamanda wa polisi mkoa...
View ArticleLowassa Apigilia Msumari Operesheni UKUTA-" Haiwezekani Hata Kidogo Mtu Mmoja...
Leo nimezunguka katika majimbo ya Mbeya Vijijini ,Vwawa na Tunduma nikiwaeleza kuhusu Operation UKUTA,UKUTA si fujo , UKUTA si machafuko na hatuna haja ya kufanya fujo , tunapiga kelele dhidi ya...
View ArticleDiamond adai alikuwa muuza mitumba ‘nilikuwa najipitisha kwa Bob Junior na...
Mkali wa wimbo ‘Kidogo’ Diamond Platnumz amefunguka na kueleza jinsi alivyoweza kupambana na biashara ndogo ndogo ya kuuza mitumba wakati anatafuta njia yakutoboa.Muimbaji huyo amesema Bob Junior na...
View ArticleRuby ni pasua kichwa, ana dharau, anajisikia – asema msanii wa THT
Kwa mujibu wa msanii wa THT, Max Spesho ambaye ni muigizaji wa tamthilia ya Kelele ya Clouds TV, Ruby ni pasua kichwa, ana dharau, anajisikia na mgumu kufanya naye kazi.Max amejitokeza kusema hayo...
View ArticleRuby: Sikwenda Fiesta sababu maslahi ni ‘kiduchu’, atangaza vita na waliomtoa
Muimbaji wa ‘Na Yule’ Ruby amesema hakwenda Mwanza kutumbuiza kwenye Fiesta licha ya ‘kusajiliwa’ kwenye msimu mpya wa tamasha hilo maarufu, kwasababu waandaji hulipa fedha ‘kiduchu.’Kauli yake inakuwa...
View ArticleMaisha ndani ya jela lenye msongamano zaidi nchini Ufilipino
Katika hali isiyo ya kawaida ndani ya mji wa Quezon karibu na kituo kidogo cha polisi nchini Ufilipino ndipo lilipo gereza la Quezon ambalo linatajwa kuwa na wafungwa wengi kuliko magereza yote nchini...
View ArticleBelle 9 atinga kambi ya WCB, afanya mazoezi na Diamond
Baada ya vocalist, Rich Mavoko kusaini WCB ya Diamond, huwenda msanii wa muziki wa R&B kutoka Morogoro, Belle 9 na yeye akasaini ndani ya label hiyo.Muimbaji huyo anayefanya vizuri na wimbo ‘Bugger...
View ArticleRuby anamtukana mamba ingali hajauvuka mto?
Hakuna aliyeliona hili la Ruby na Clouds FM/THT kuja mapema kiasi hiki. La kwamba Ruby atakuja kuwashutumu waliomfikisha hapo alipo tena kwa mtindo uliowaacha mdomo wazi wengi – kumuingiza Lady Jaydee...
View ArticleSAKATA LA MAUWAJI YA KUTISHA YA DADA WA BILIONEA MSUYA,HATIMAYE MKE WA...
Mke wa aliyekuwa bilionea wa madini maarufu jijini Arusha, marehemu Erasto Msuya, Miriam Msuya amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. akikabiliwa na mashtaka ya...
View ArticleSHILOLE AKIRI KUPENDANA NA STAA WA MUZIKI KUTOKA NCHINI NIGERIA WIZKID
Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed Yusuf a.k.a Shilole au Shishi Baby, amekiri kupendana na staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogun ‘Wizkid’.Kauli ya Shilole inakuja kufuatia...
View ArticleMaigizo Yanaendelea..Moshi Napo Jeshi la Polisi Laonyesha Mkwala wa...
Moshi. Mazoezi ya Polisi mkoani Kilimajaro yaliyodumu kwa takriban saa nne yaliyofanywa na vikosi vya askari wa kutuliza ghasia na magari ya washawasha, yametikisa mji wa Moshi na kuzua hofu kwa...
View ArticleRais Magufuli ateua Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 24 Agosti, 2016 amemteua Dkt. Modestus Francis Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.Kabla ya uteuzi...
View ArticleJKT yatoa siku 7 wabunge wachukue madawati yao
JESHI la Kujenga Taifa (JKT), limetoa siku saba kwa wabunge wa majimbo 18 yaliyopo ndani ya mikoa saba nchini kuhakikisha wanachukua madawati yao yaliyotengenezwa na jeshi hilo kabla ya Agosti 30,...
View Article