$ 0 0 Msikilize Diamond Platnumz Akikana kabisa kuwa na mahusiano na Mrembo Lynn, Adai hana mawasiliano naye na wala hawajawahi kumuona tena toka alivyofanya video ya Kwetu na Raymond..Msikilize Hapa chini: