Madada wa The Kardashians Wakanusha Kauli ya The Game Kuwa ‘Alipita’ na 3...
Madada wa The Kardashians wanadai kuwa rapper The Game anadanganya anaposema kuwa amewahi kulala na watatu kati yao kwenye wimbo wake mpya, Sauce.Kwa mujibu wa TMZ, Game alipita na mmoja tu. Vyanzo...
View ArticleMKURUGENZI AMWAGA MACHOZI MBELE YA KAMATI YA BUNGE
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo mkoa wa Morogoro, Agnes Mkandya amemwaga machozi alipokuwa akiulizwa maswali na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC).Tukio hilo...
View ArticleManji atuma ujumbe kwa mashabiki wa Yanga
Habari ya Yusuf Manji kujiuzulu kwenye nafasi yake ya uenyekiti ndani ya klabu ya Yanga ndio imekuwa stori kubwa ikiwa ni siku chache tangu atangaze kutaka kuikodi timu hiyo kwa muda wa miaka...
View ArticleZari awapa makavu wabaya wake
Ni muda mrefu mahusiano ya Diamond na Zari yameelezwa kutokuwa mazuri kutokana na muimbaji huyo kuhusishwa kutoka na warembo wengine.Kuna tetesi nyingi sana zimevuma kwenye mitandao ya kijamii hivi...
View ArticleTimu ya Simba Sasa Kuendeshwa Kwa Hisa..Mo Dewji Akabithiwa Timu
Kamati ya utendaji ya Klabu ya Simba August 15 2016 ilikutana na mkurugenzi mtendaji mkuu wa makampuni ya Mohammed Enterprises Limited (MeTL) Mohammed Dewji ambaye aliomba kununua asilimia 51 ya hisa...
View ArticleRAIS ALIPOMJIA JUU MNIGERIA ALIYEMTAKA MTOTO WAKE WA KIKE
This is funny actually! The President of Rwanda switched to his military side after a Nigerian guy "jokingly and stylishly" asked for his daughter's hand in marriage.Twitter user, @Bar_Baric posted...
View ArticleWakuu wa shule 90 za msingi na sekondari kuvuliwa madaraka Kinondoni
Hivi karibuni Rais Magufuli katika ziara yake mkoani Mwanza aliwaonya walimu wanaotoa taarifa za uongo za wanafunzi ili kujipatia BOFYA HAPA MC DR CHENI BLOG KUSOMA ZAIDI
View ArticleTaarifa za awali za Polisi Dar baada ya kuwakamata Original Komedi
August 17 2016 Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam imewahoji wasanii wanne wa kundi la sanaa ya uigizaji Orijino komedi akiwemo kwa tuhuma za kuvaa sare za polisi kwenye harusi ya msanii...
View ArticleHatua nane zilizochukuliwa na serikali baada ya uhakiki wa mikopo ya wanafunzi
Wizara ya elimu, sayansi na teknolojia iliunda timu ya kuhakiki wanafunzi kwenye taasisi za elimu ya juu nchini ili kujiridhisha na uhalali wa wanafunzi wanaopata mikopo kwa ajili ya elimu ya juu....
View ArticleWafanyakazi nane wafukuzwa kazi kisa unene
Habari hii imeripotiwa na BBC ambapo imetokea nchini Misri kwenye television ya Taifa hilo ambapo imewafukuza kazi wafanyakazi 8 wa kike na kuwashauri waende wakapunguze uzito wa mwili.Chama cha Radio...
View ArticleOBAMA AMTEMBELEA MWANAE KAZINI NA KUMUUNGA MKONO KATIKA KAZI YAKE YA HOTELINI
Obama visited where his younger daughter is working, he decided to support her in doing some of her duties. What is your responsibility as a father? What kind of role are you playing in bringing your...
View ArticleKUTANA NA MWANAFUNZI HUYU WA CHUO WA MIAKA 19 ALIYEBADILI MAISHA YAKE NA KUWA...
By Zainul Mzigeon August 17, 2016 Mwanafunzi wa Chuo Robert Mfune mwenye umri wa miaka 19, ameweza kutengeneza zaidi ya maelfu ya Paundi za Uingereza akiwa anafanyakazi katika muda wa ziada kwenye...
View ArticleBreaking Newzz: Rais Magufuli Atengua Uteuzi Wa Mkuu Wa Mkoa Arusha Felix...
Mkuu wa Mkoa mpya wa Arusha,Mrisho Gambo aliyeteuliwa na Rais,kuapishwa kesho ijumaa Ikulu jijini Dar***RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko madogo ya...
View ArticleTCRA Yaonya Wanaoutumia Akaunti Feki Kwenye Mitandao ya Kijamii
MAMLAKA ya Udhibiti wa Mawasiliano hapa Nchini (TCRA) imewaonya watumiaji wa mitandao ya kijamii wanaojisajili katika mitandao hiyo kwa kutumia majina na taarifa za uongo.James Kilaba Kaimu Mkurugenzi...
View ArticleSHEHE MKUU DAR AMUITA WEMA SEPETU KUHUSU ISHU YA MTOTO
Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Musa Salum amemuita Miss Tanzania 2006 na nyota wa filamu za Bongo, Wema Sepetu kufika ofisini kwake kwa ajili ya dua ili aweze kupata mtoto, Amani...
View ArticleIDRISS SULTANI AIFUTA ACCOUNT YAKE YA INSTAGRAM
Kama utakuwa unakumbuka mwaka 2015 msanii kutoka kwenye tasnia ya Bongo Movie, Elizabeth Michael aliingia kwenye headlines za kujiondoka kwenye mtandao wa instagram kutokana na matatizo yake...
View ArticleKama Umesoma au Unasoma Kwa Lengo la Kuja Kupata Pesa; Unaweza Kuja...
Kama umesoma[au unasoma], kwa lengo la kuja kupata pesa; unaweza kuja kujidharau na kuwa "disappointed". Kwa sababu huku mtaani kuna watu ni ama la saba au hata la saba hawakumaliza lakini ndio...
View Article