Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA Jinsi Original Komedi walivyoingia ukumbini kwenye Harusi ya Mwenzao...

Ni August 14, 2016 ambapo mchekeshaji kutoka kwenye kundi la Original Komedi, Emmanuel Mgaya aka Msanja Mkandamizaji aliziandika headlines baada ya kufunga ndoa na mchumba wake Monica katika kanisa la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fahamu kuhusu maana sahihi ya maneno Lodge na Motel

Kuna vitu ambavyo unakutana navyo kila siku na inawezekana uelewi maana yake au sio sahihi na wala hukuwahi kujua kama sio sahihi, sasa kuna sehemu mbalimbali ambazo zinatoa huduma za hoteli...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vijana wazuia gari la Jeshi kubeba jeneza la Rais Mstaafu wa Zanzibar Mzee...

Maziko ya Rais wa Pili wa Zanzibar, Aboud Jumbe Mwinyi (96) aliyefariki dunia juzi jijini Dar es Salaam yalifanyika jana nyumbani kwake Migombani, Zanzibar huku vijana wakikataa gari la Jeshi kubeba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEMA Sepetu na Idriss Sultan Wakomoana..Idriss Mapovu Yamtoka Akataa Kuitwa...

Idris Sultan na Wema Sepetu wamezinguana kwa mara nyingine tena. Kisa na mkasa na Wema kuisusia show ya Idris, Funny Fellas kwa mara nyingine tena huku mshindi huyo wa Big Brother akihudhuria za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dr. Kigwangalla Aishtukia Asasi ya Kiraia inayohamasisha Mapenzi ya Jinsia...

 Yabainika walikuwa na mradi wa kuhamasisha mapenzi ya jinsia moja ukifadhiliwa na JHPIEGOBaadhi ya watendaji wa Asasi hiyo walikuwa kwenye asasi iliyofutiwa usajili ya "Sisi kwa Sisi"Dkt. Kigwangalla,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA MPYA ZA AGNES MASOGANGE NOUMA SANA AUTIKISA MTANDAO

People always choose the wrong person first,and when the right person arrives,they stop trusting peopleStay away from people who treat you like an option when no one else is there for them. You deserve...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUUMIN APOTEZA MAISHA BAADA YA MCHUNGAJI KUSHINDWA KUFANYA MIUJIZA

Katika harakati za kuonyesha miujiza ya Mwenyezi Mungu, Mchungaji mmoja kutoka huko Afrika Kusini, katika Kanisa la ‘The Mount Zion General Assembly’ aliyejulikana kwa jina la Lethebo Rabalango,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mzee Yusuf kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji baada ya kuachana na muziki

Baada ya hivi karibuni Mzee Yusuf kutangaza kuachana na kufanya muziki, ameweka wazi kuwa kilimo na ufugaji ndiyo kimbilio lake.Muimbaji huyo mahiri wa taarab alitangaza azma hiyo Ijumaa iliyopita...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maazimio ya mkutano wa viongozi wa Yanga waliokutana leo kwa dharura

Viongozi wa klabu ya Yanga leo saa nne walikutana katika kikao cha dharura kufuatia mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji kutangaza kujiuzulu na kutupilia mbali mpango wake wa kutaka kuikodisha timu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANACHAMA YANGA WAMLILIA MANJI.

 Baadhi ya wanachama wa Yanga wakiwa inje ya Jengo la Makao Makuu ya Yanga.Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.KUFUATIA tetesi za Mwenyekiti wa Yanga Yusuph Manji kutaka kujiengua pamoja na  kubadili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBONZO CHA LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZ:KUNDI LA ORIGINAL COMEDY LAINGIA MATATANI KWA KUVAA SARE ZA...

Katika siku za hivi karibuni, kumejitokeza  tabia kwa baadhi ya watu wakiwemo wasanii watu wengine mmoja mmoja kutumia mavazi yanayofanana na sare za Majeshi ya Ulinzi na usalama hapa nchini likiwemo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO: Masanja akitoa adhabu kwa wanaochelewa kuoa, kaanza na MC pilipili

Mchekeshaji kutoka kwenye kundi la Original Komedi, Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji ambae August 14 2016 alifunga ndoa na mchumba wake aitwae Monica ameifanya hiki kichekesho kifupi akiwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Spika Dk. Tulia afunguka, asema Ukawa walimtukana tusi kubwa

SIKU mbili baada ya Spika wa Bunge, Job Ndugai kuahidi kufanyika maridhiano kati ya uongozi wa Bunge na wabunge wa upinzani katika kikao kijacho kinachotarajiwa kuanza Septemba 6, mwaka huu, Naibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Jumatano ya Agosti 17,2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha za Masanja na Mke wake Zazua Maswali Kwa Mashabiki wake..Wadai Mke wa...

Baada ya Harusi ya Mchekeshaji Masanja na Mkewe iliyofungwa Jumapili iliyopita wawili hao wameonekana kwenye picha mbali mbali wakijivinjari Honey Moon huku mavazi yao yakileta mabishano kama kweli ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mzee Yussuf Ataendelea Kusikika Japo Anasema Amestaafu Muziki - Khadija Yusuf

Zikiwa zimepita siku kadhaa tangu Mzee Yussuf kutangaza kuacha rasmi kazi ya muziki na kumrudia Mungu, mdogo wa mzee Yussuf, Khadja Yussuf ambaye ni muimbaji katika bendi ya Jahazi Modern Taraab...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Harmonize: Nivae dela ndio mseme simkopi Diamond?

Shutuma kuwa amekuwa akimuiga bosi wake Diamond, zimemchosha Harmonize na sasa ameamua kujibu.Baada ya video ya wimbo Inde alioshirikishwa na Dully Sykes kutoka, mashabiki ndio wamezidi kuendelea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mabasi ya mikoani kugoma Jumapili

CHAMA cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa) kimesema kitasitisha huduma ya kusafirisha abiria kwenda mikoa yote nchini Jumapili ili kufanya ukaguzi wa mabasi yake, hatua ambayo itakuwa sawa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF Yaburuzwa Mahakamani

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), limeburuzwa mahakamani na wakazi 87 waliokopeshwa nyumba za mradi wa shirika zilizoko Kijichi jijini Dar es Salaam, wakiiomba lisiwabugudhi hadi kesi ya...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live