Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Polisi Dar wametangaza kumtafuta Masanja Mkandamizaji

August 17 2016 Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam imewahoji wasanii wanne wa kundi la sanaa ya uigizaji Orijino komedi akiwemo meneja wao Seki kwa tuhuma za kuvaa sare za polisi kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamke Akikujibu Hivi Achana nae Haraka Sana Ujue Hakuna Kitu Hapo....

Wanawake wa uswahilini wa siku hizi wamekuwa na swagger ya aina moja wanapotongozwa.utasikia "MIMI NAWAOGOPA WANAUME",ukiuliza wewe ni bikra kwani? Atajibu hapana,ukiuliza kwa nini unawaogopa wanaume...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDALICHAKO ATOA SIKU SABA KWA WALIOTOA MIKOPO HEWA KUIREJESHA

WAZIRI wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako ametoa siku saba kuanzia jana kwa vyuo vikuu nchini, ambavyo vimepokea fedha za mikopo za wanafunzi ambao hawapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanafunzi Hewa 2331 Katika Shule Za Sekondari Mkoani Simiyu Wabainika

Baada ya kufanya uhakiki wa Wanafunzi Uongozi wa Mkoa wa Simiyu umebaini uwepo wa wanafunzi hewa 2331  katika shule za Sekondari za Mkoa huo.Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Anthony...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Ampatia Bajaji Mlemavu Thomas Kone Anayejituma

Kaimu Mnyikulu ambaye pia ni Naibu Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akimkabidhi funguo na nyaraka Bw. Thomas Kone (35) kwa ajili ya Bajaji mpya ambayo amezawadiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) yatangaza kudhamini elimu kwa wanafunzi wa...

Mkurugenzi wa Mahusiano wa SBL John Wanyancha ( kulia)   akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) Wakati wa kutangaza mpango kampuni hiyo wa kugharamia elimu ya vyuo vikuu kwa wanafunzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ni kosa kumwangalia mwanamke kwa sekunde 14 nchini India

Watumiaji wa mitandao ya kijamii wamelalamika kuhusu tamko la afisa mmoja aliyesema kuwa ni kinyume na sheria kumuangalia mwanamke kwa zaidi ya sekunde 14 katika jimbo la Kerala nchini India.Hakuna...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huu Ndiyo Utofauti wa Diamond na Kiba

KUNA vita ya maneno kati ya makundi mawili ya mashabiki wa Muziki wa Bongo Fleva, wanaowashabikia wasanii Alikiba na Nasibu Abdul ‘Diamond’, kila upande ukidai mtu wao ndiye anajua zaidi kuliko...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wema Sepetu na Petit Man Wamaliza Tofauti zao

Kwa miezi kadhaa sasa Wema Sepetu na Petit Man walikuwa wakichuniana hadi kuwafanya mashabiki waanze kuuliza maswali kupitia mitandao ya kijamii kutaka kujua kunani!Lakini usiku wa August 16, wawili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AMRI 10 ZA KUMFANYA MWANAMKE AWE NA FURAHA

Hizi Ndio Amri 10 Za Kumfanya Mwanamke Awe na Furaha.1. MPIGIE SIMU HATA MARA 1 KWA SIKU KUMJULIA HALI. UKIBANWA SANA, JARIBU KUMTUMIA HATA UJUMBE M.1. MPIGIE SIMU HATA MARA 1 KWA SIKU KUMJULIA HALI....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Salamu ya Maalim Seif yawa gumzo mitandaoni

Chanzo:Mwananchi

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu: Ukaguzi wa Wanafunzi HEWA Ufanyike Nchi Nzima

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza Wakuu wa Wilaya na Maofisa Elimu nchini wafanye ukaguzi katika shule ili kubaini wanafunzi hewa kwenye mpango wa elimu bure.“Kila mwezi Serikali inapeleka shule...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Ijumaa ya Agosti 19,2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAY C AANDIKA UJUMBEE MTANDAONI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huyu ni mrembo wa SA aliyeonekana kwenye video za Diamond na Alikiba

Vita vya panzi ni furaha kwa kunguru. Mwanamitindo kutoka Afrika Kusini amebahatika kutokea kwenye video za wasanii heavyweight wa Bongo, Diamond na Alikiba.Mrembo huyo ambaye anatumia jina la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI KWELI KUZOEANA SANAAAA....KUNAPUNGUZA MAPENZI?

Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa kabisa na unaendelea na majukumu yako ya kila siku!. Leo ningependa tujadiliane kuhusu hiki kinachosemwa na wengi kwamba mkishakaa kwenye uhusiano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALICHOKIANDIKA MASANJA MKANDAMIZAJI MTANDAONI BAADA YA KUSIKIA NI WANTED POLISI

BOFYA HAPA KUSOMA BONYEZA NA HAPA 

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ndalichako aokoa bil. 2.6/- chapchap

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako.• *** Aeleza alivyoshtukia marehemu waliokuwa wamepewa mikopo ya mamilioni. BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Polisi Yadai Kukerwa na Wasanii wa Orijino Komedi Kukatikia Viuno Sare za...

WAKATI mwigizaji wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya 'Masanja Mkandamizaji' akiendelea kusakwa, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema unenguaji uliofanywa na wasanii wa kundi la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Olimpiki: Mwanariadha wa Kenya Apokonywa Medali Kwa Kosa la Udanganyifu

Mwanariadha kutoka nchini Kenya aliyeshinda medali ya shaba kwenye riadha na kuruka vihunzi pamoja na maji, Ezekiel Kemboi amepokonywa medali yake kwa kosa la udanganyifu mchezoni kwenye mashindano ya...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live