Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAPENZI WA KICHINA WAFUNGA NDOA KWENYE DARAJA LA KIOO JUU YA BONDE

Si jambo linaloweza kufikiriwa na kila mtu kulitenda wakati wa siku maalum, Lakini wapenzi wa kichina walichagua kusherehekea harusi yao huku wakielea angani katika daraja la kioo.Bibi harusi na bwana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Spika wa Bunge Job Ndugai Awaalika Wapinzani Kwenye Meza ya Mazungumzo ili...

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai, amekiri bunge hilo kusambaratika na kuwa vipandevipande kutokana na vurugu za mara kwa mara zilizopelekea wabunge wa upinzani kususia vikao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Jumatatu ya Agosti 15,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mzee Jumbe Ausia Asizikwe Kiserikali

"MIMI Aboud Jumbe Mwinyi, namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunibariki kuzaliwa ndani ya Uislamu na namuomba aniruzuku kufa na kufufuliwa ndani ya Uislamu".Hayo ni sehemu ya yaliyomo katika Wasia wa Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jionee usiku wa Vigoma Escape 1, Wema Sepetu ndani….

Ni August 13,2016 wapenzi na mashabiki wa muziki wa vigoma walikutana katika viwanja vya Escape one Dar es Salaam ambapo miongoni waliosupport usiku huo wa vigoma ni staa wa Filamu za Tanzania, Wema...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CUF yampiga chini rasmi Profesa Lipumba

ALIYEKUA Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ametoswa rasmi kuwania nafasi hiyo katika uchaguzi wa chama hicho unaotarajiwa kufanyika Agosti 21 mwaka huu, kupitia Mkutano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BASATA Yamfungulia Nay wa Mitego

Katikati ni katibu wa Baraza la sanaa Tanzania, BASATA, Godfrey Mungereza akizungumza na wanahabari wakati wa kutoa tamko la kumfungulia Nay. Kushoto nia msanii Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hackers wamtembelea tena Joh Makini

Waharifu wa kwenye mtandao “hacers” wanaonekana kuzidi kutawala dunia kwa kuiba akaunti za mitandaoni za watu mbalimbali lakini zaidi wakiwa ni watu maarufu ambao wanaonekana kuwa na watu wengi ambao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWA HUDUMA YA KUDIZAINIWA MATANGAZO YA MTANDAONI WAONE J-HOPE DESIGN

Kwa wale wanaofanya biashara na kutangaza biashara yako mtandaoni kama fb,Instagram, blog au kwenye website,basi kwa mahitaji ya kudizainiwa matangazo hayo,tunakukaribisha. Bei zetu ninaafuu sana....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa za Kifo cha Sarafina si za Kweli

Tetesi za kifo cha muigizaji maarufu wa Afrika Kusini, Leleti Khumalo maarufu kwa jina la Sarafina si za kweli kwa mujibu wa vyombo vya habari vya nchi hiyo.Hivi karibuni kupitia mitandao zilienea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA yaipigia Magoti ACT Wazalendo

MBOWE :-CHADEMA TUTAUNGANISHA NGUVU NA ACT WAZALENDO KUPINGA UDIKTETA.Waswahili walisema usitukane Mamba ujavuka mto, msema huo waelekea kutimia kwa Freeman Mbowe na cdm yake kufuatia kudorora kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hanscana Atemana na Wanene Entertainment

Muongozaji mahiri wa video nchini, Hanscana ametangaza kuacha na kampuni ya Wanene Entertainment ikiwa ni wiki chache toka wazindue studio mpya na zakisasa za kampuni hiyo.HanscanaDirector huyo ambaye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA NA VIONGOZI MBALI MBALI WATOA HESHIMA ZA MWISHO...

 Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Aboud Jumbe likiwasili nyumbani kwa marehemu Migombani, Zanzibar Watoto, Ndugu, jamaa na Viongozi mbali mbali wakipokea mwili wa Marehemu Mzee Aboud Jumbe mara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video : Maalim‬ Seif na‬ Lowasa Walivyoshiriki Mazishi ya Rais Mstaafu wa...

Fuata kiambatanisho cha hapo chini kuangalia namna ambavyo Katibu Mkuu wa chama cha Wananchi CUF, ‪‎Maalim‬ Seif Sharif Hamad na ‪Edward‬ Lowasa walivyoshiriki katika mazishi ya aliyekuwa rais wa pili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA RASMI JUU YA SAKATA LA KUJIUZULU MANJI YANGA

Ni kweli Mwenyekiti amekusudia kufanya hivyo kwa sababu anasakamwa , anatukanwa na kudhalilishwa na Makonda na Mzee Akilimali.Lakini kibaya hakuna tamko kutoka kwa Mwana-Yanga yeyote aliyekemea hilo na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mashabiki Watokwa na Povu Baada ya Wema Kuwataja Wanaume Anaowafagilia...

Hii ndio picha aliyoweka Wema Sepetu Kwenye page yake Kama MCM, ikiwa na maana ya Man Crash Monday...Mashabiki wake wengi walihoji kwanini Diamond yupo kwenye list na huku mpenzi wake wa sasa Idriss...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wema Sepetu Amenishangaza Kwa Kauli ya "Mimi na Uzungu Wangu"

Jana usiku katika taarifa ya habari ya TV1, habari ikielezea uhamasishaji wa wasanii kuupa kipaumbele miziki yenye mahadhi ya uswahili kama segere na singeli nimemsikia Wema Sepetu akihojiwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Peter Msechu Aingia 18 za AT, Achambwa Mpaka Huruma...

Mwimbaji AT kutoka Zanzibar amemtupia Mwimbaji Peter Msechu Maneno ya Shombo ambayo yamemwacha kila mtu mdomo wazi:“Mvuto Sifuri Bikaka @peter_msechu Nene km Lori Hivi kuongelea wembamba wangu unalipwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Jumanne ya Agosti 16,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watu Watano Akiwemo Askari wa JWTZ Watiwa Mbaroni kwa tuhuma za Kutengeneza...

POLISI mkoani Kigoma imewatia mbaroni watu watano akiwemo askari mmoja wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa tuhuma za kutengeneza vyeti bandia vya kitaaluma, miongoni mwake vikiwemo 90...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live