BREAKING NEWZZ:Mzee Yusuf atangaza kuachana na muziki
Mfalme wa Taarab nchini, Mzee Yusuf, ametangaza kuachana na muziki.Ametangaza azma hiyo Ijumaa hii kwenye msikiti wa Taqwah jijini Dar es Salaam. Amedai kuwa kuanzia sasa atakuwa akimtumikia Mungu...
View ArticleDiamond Platnumz Awaonya Wasanii...Adai Wakimuiga yeye Wataishia Kuwa Watumwa...
Msanii Diamond Platnumz amefunguka na kuwataka wasanii ambao wanachipukia na wale ambao wapo kwenye muziki wafikiri kufanya mambo zaidi yake na wasifikirie au kuwaza kuwa kama Diamond Platnumz.Diamond...
View ArticleMagufuli: Nitaigeuza Ikulu Kuwa Jumba la Makumbusho
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Magufuli amesisitiza kutekelezwa kwa mpango wa serikali kuhamishia makazo yake mkoani Dodoma ndani ya kipindi cha miaka mitano ya utawala wake huku...
View ArticleMakonda kuzichapa na bondia Francis Cheka kuhamasisha usafi
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajia kupanda ulingoni Agosti 27 kuzichapa na bondia Francis Cheka katika pambano la kuhamasisha usafi jijini Dar es salaam.Akizungumza jijini Dar,...
View ArticleSauti ya Diamond Kwenye wimbo wa Dully Sykes feat Harmonize - INDE
Mimi si timu alikiba wala mavi kunuka gani sijui wala chama sina. Nakosoa panapohitajika.Diamond hapa unachemka, atakayeiskia hii nyimbo atajua direct we ndio unayeimba, sauti yako tayari iko common,...
View ArticlePapa Francis Awatembelea Waliokua Makahaba Roma
Papa Francis amewashangaza makahaba wa zamani 20 alipowatembelea katika ziara ya kushitukiza kwenye makazi yao yenye ulinzi mjini Roma.Mkuu huyo wa kanisa katoliki alizungumza na wanawake hao, ambao...
View ArticleNicki Minaj Ammwaga Meek Mill Rasmi..Chanzo Cha Kumwagana Hiki Hapa
Mastaa waliokuwa wapenzi kwa zaidi ya miaka miwili Meek Mill na Nicki Minaj wametengana.Watu wa karibu na Couple hii wanasema Meek Mill amekuwa na maisha tofauti na Minaj huku Meek akitaka zaidi...
View ArticlePicha:Ujauzito wa Zari Sasa Unaonekana...Diamond Platnumz Aomba Ushauri wa...
Bongo fleva super staa Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa anatarajia kupata mtoto wa kiume na kwamba angependa mashabiki wake watoe mitazamo yao juu ya jina gani ampe mtoto wake.Mpaka sasa tunafahamu...
View ArticleWENZETU HATA KAMA MTU MZIMA UKILETA UMBULULAZZ LAZIMA UKIONE CHA MOTO
Mzee mmoja ashushwakwenye gari pande za angola baada ya kuova teki gari katika foleni na kupigishwa magoti huku akishika masikio.
View ArticleBI HARUSI ATEKWA SAA CHACHE BAADA YA KUFANYIWA KICHEN PARTY
Bi harusi Asha Halili, mkazi wa Kichangani mkoaniMoro.STORI: DUSTAN SHEKIDELE, RISAJI JUMAMOSI MOROGORO: Katika hali ya kushangaza, bi harusi Asha Halili, mkazi wa Kichangani mkoani hapa ambaye alikuwa...
View ArticleAsili ya aina za ushangiliaji za wanamichezo pindi wanapofunga
 Tasnia ya muziki imekuwa bega kwa bega na michezo hata imekuwa ikiingiliana na wapenzi yaani wanaopenda michezo na muziki kwa wakati mmoja.Tumeona mara nyingi tu wanamuziki wakitunga mashairi yao...
View ArticleMJANE BI AMINA SALEHE MWENYE MIAKA 80 ANAOMBA MSAADA KUWEZA KUWALEA YATIMA 5...
Mjane alipotembelewa na EWC kwa ajili ya kumuandikisha Annaberta Chimbuvu mwenye Tshirt Nyekundu Anaitwa bibi Halima Salehe ana umri wa miaka80 katika zoez la uandikishaji wa wajane na yeye tulipelekwa...
View ArticleBREAKING NEWZZ-RAIS MSTAAFU ZANZIBAR AFARIKI DUNIA,TAARIFA NA HISTORIA YAKE...
Taarifa ambazo mtandao huu umezipata ni kuwa Rais Mstaafu wa zanzibar wa awamu ya pili Mzee ABOUD JUMBE MWINYI amefariki dunia mchana huu nyumbani kwake Kigamboni.Taarifa zaidi za msiba huo zitakujia...
View ArticleWAZIRI MWINGINE AJIUZURU KWA ULEVI
Waziri wa elimu nchini Sweden amejiuzulu wadhifa wake baada ya kupatikana akiendesha gari akiwa mlevi.Bi Aida Hadzialic, ambaye amekuwa waziri wa elimu ya sekondari na elimu ya watu wazima, amejiuzulu...
View ArticleMASANJA MKANDAMIZAJI WA ZE COMEDY AUAGA UKAPELA AFUNGA NDOA
Ni August 14, 2016 ambapo mchekeshaji kutoka kwenye kundi la Original Komedi, Emmanuel Mgaya aka Msanja Mkandamizaji anaziandika headlines leo baada ya kufunga ndoa na mchumba wake Monica katika kanisa...
View ArticleRais Dkt. Ali Mohamed Shein atoa taarifa rasmi ya kifo cha Rais Mstaafu wa...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, ametoa taarifa rasmi ya Serikali kuhusu kifo cha Rais Mstaafu wa Zanzibar wa Awamu ya Pili, Mheshimiwa Alhaj Aboud...
View Article