Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Yalifunga gazeti la Mseto kwa miezi 36

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeamua kulifungia kwa miezi 36  gazeti la “MSETO”. Amri ya kulifungia  Gazeti hilo imetolewa kwa Tangazo la Serikali Na. 242 lililotolewa tarehe 10 Agosti,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Njemba Avamia Makao Makuu ya Trump, Adakwa!

NEW YORK: Njemba mmoja nchini Marekani aliyejiita kuwa ni mtafiti binafsi na shabiki wa Donald Trump, jana Agosti 10, 2016 alitumia masaa matatu kupanda jengo la mfanyabiashara huyo maaufu duniani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahakama Kuu yatengua hukumu ya awali ya kuwafutia shtaka la utakatishaji...

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetengua uamuzi uliotolewa na Hakimu Mkazi Mkuu Emmilius Mchauru wa kufuta shtaka la kutakatisha Dola Milioni 6 za Kimarekani baada ya kuona liliondolewa kinyume...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtoto wa OBAMA arekodiwa Akivuta Bangi

Mtoto mkubwa wa Rais Barack Obama – Malia Obama – anahisiwa siku kadhaa nyuma alikuwa amepewa kipisi cha bangi kuvuta na akavuta na kujikuta akirekodiwa na video za mapaparazi wa Marekani. Tukio hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA HIZI ZA SHILOLE ZAWATOA POVU VIDUME

Bongo fleva singer, Zuwena Mohamed 'Shilole' has put on display her $exy tattooed thighs, through her Instagram account Shilole shared her amazing pics as she does daily showing off her hot body, see...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Malia Obama is defended on social media after caught smoking weed

People are defending Obama’s daughter ever since her photos of her smoking where exposed on the social media. To  make it clear they are not led by Malia Obama, it is Barack so let teenager live their...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Babu Tale abanwa na Mahakama

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupa pingamizi la Mkurugenzi wa Kampuni ya Tiptop Connections ya jijini Dar es Salaam, Hamis Shaban Taletale, maarufu Babu Tale, na kumtaka ajieleze ni kwa nini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA MZAZI AMFUNGA KAMBA MWANAYE SHINGONI NA KUMLISHA KAMA MBWA,ATUPIA PICHA...

Hili lingine limetokea huko Ufilipino baada ya mama kuamua kumfunga mtoto wake mnyoyoro na kumwekea chakula kama mbwa kwa madai amekua akimsumbua.Matukio ya unyanyasaji kwa watoto yameendelea kuchukua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DALADALA LAPINDUKA KITUONI MBAGALA-SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM, WATU KADHAA...

DALADALA namba T274 DEX,(pichani), lililokuwa likisafiri kutoka Mbagala RangiTatu kuelekea Temeke jijini Dar es Salaam, limeanguka mita chache kutoka kituo cha Daladala Sabasaba-Mbagala leo asubuhi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBONZO CHA LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Akiweka Jiwe La Msingi Daraja Wa Waenda Kwa Miguu La Furahisha...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli ameitaka Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano kuhakikisha kuwa ujenzi wa daraja la watembea kwa miguu na upanuzi wa Barabara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Ijumaa ya Agosti 12,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EMPOWER WIDOW AND CHILDREN ORGANIZATION

Home Service:- Kwa wafanyakazi wa majumbani; usafi wa kila siku, wiki au kwa mwezi(kufua, Kupasi nk)- Kwa wafanyakazi wa Maofisini- Wanaohitaji wapambaji wa masherehe, Mc na Matukio malimbali-...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAHADHARI DHIDI YA MATAPELI KWA WAOMBAJI WA MIKOPO HESLB

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwatahadharisha  waombaji wa mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2016/2017 na umma kwa imepokea taarifa kuwa kuna watu wasio waaminifu ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Akerwa na Uozo Uliopo Ndani ya CCM.......Aagiza Jiji la Mwanza...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuna mambo ya hovyo ambayo yapo ndani ya Chama cha Mapinduzi ambayo yanahitaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shibuda aibukia mkutano wa Rais Magufuli Mwanza.....Awapa Neno UKAWA

Katibu Mkuu wa Chama cha ADA-Tadea, John Shibuda jana alijitokeza katika mkutano wa Rais Dkt. John Magufuli katika viwanja vya Furahisha Jijini Mwanza na kumpongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa namna...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali: Hatuna ushahidi wa kuzihukumu shule za Feza, Hivyo Hatuwezi Kuzifunga

SERIKALI imesema haina ushahidi wa kutosha kuzitia hatiani shule za Feza nchini zinazodaiwa kumilikiwa na mmoja wa wananchi wa Uturuki anayetuhumiwa kujihusisha na ugaidi na kuitaka Serikali ya Uturuki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

‘Ndani ya kipindi changu fyatueni watoto wa kutosha’- Rais Magufuli

August 12 2016 Rais wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli alikutana na wakazi waDar es salaam na kuzungumza nao kuhusu maendeleo ya nchi lakini hakuacha kukumbushia lengo lake kuu la kuruhusu elimu bure...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanawake, Msing'ang'anie Wanaume Ambao Hawawataki

Zaidi ya watu wa 5 wameshakueleza kwamba jamaa hana time na wewe na ameshachumbia mtu mwingine hukuamini. Mungu sio Mwigulu Nchemba, siku 1 akiwa kwenye mishemishe za kuchepuka simu yake ikajipiga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAFIRI MEDIA PRODUCTION BEST IN TOWN

Msafiri Media Production Best in Town for still picture, Video production,Video Editing,Converting VHS to DVD,Renting LCD tv & Projector,Graphics design etc kwa sherehe yako.Wanapatikana...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live