Huyu Ndio Mwanamke Anayemuumiza Kichwa Zari Hassan wa Diamond Kwa...
Hamisa Mobeto Kwa sasa amekuwa Kirusi Kwenye Penzi la Mwanamuziki Diamond na Zari Hassan Hasa tetesi zinazosema Kuwa anatoka kimapenzi kwa siri na Diamond....Leo Ametupostia hii Video kwenye page yake...
View ArticleMASTAA WENYE FOLLOWERS WENGI KUVUNA PESA KUPITIA MITANDAO YAO YA JAMII TANZANIA
Kwa muda mrefu sasa wasanii wenye followers wengi kwenye mitandao ya kijamii nchini wamekuwa wakiingiza fedha kutoka kwa watu na makampuni yanayotaka kutangaza biashara kwenye akaunti zao lakini...
View ArticleMbunge wa CHADEMA Godbless Lema Atunishiana Msuli na Mkuu wa Wilaya Mbele ya...
Mbunge wa Arusha Mjini, Goodbless Lema amemvaa Mkuu wa wilaya hiyo, Mrisho Gambo mbele Naibu Waziri Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Suleiman Jaffo akidai...
View ArticleSerikali yawafuta machozi wakazi wa Magomeni
Rais Dkt John Magufuli amezirudisha nyumba zote zilizohamishwa kutoka shirika la nyumba NHC kwenda ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI katika mikoa 20.Waziri wa ardhi nyumba na...
View ArticleMwanafunzi UDOM auawa kwa kupigwa na wenzake Wakati Wakitoka Baa
Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza, Kitivo cha Sayansi ya Jamii katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Fredrick Joseph (25), ameuawa kwa kushambuliwa kwa kipigo na watu wanaosadikiwa kuwa ni wanafunzi wenzake...
View ArticleLembeli: "Siondoki Chadema....Siwezi Kurudi CCM..Nilimwambia Rais Hapana Pale...
SIKU moja baada ya Mbunge wa zamani wa Kahama Mjini, James Lembeli kuibuka katika mkutano wa Rais John Magufuli, amesema hana mpango wa kurudi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Katika Uchaguzi Mkuu...
View ArticleMO DEWJI AMWAGA MILIONI 100 ZA USAJILI SIMBA SC JIJINI DAR LEO
Mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji ameanza kuinufaisha klabu ya Simba baada ya kuipatia sh milioni 100 kwa ajili ya kusaidia zoezi la usajili. Dewji alikabidhi fedha hizo kwa Rais wa klabu...
View ArticleMREMBO GIGY MONEY KUZAA NA IDRIS SULTAN
Dar es Salaam: Msanii wa muziki ambaye pia anafanya ‘modeling’ na utangazaji kwenye Kituo cha Redio cha Choice FM cha jijini Dar, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amejitangazia ushindi wa kumnasa aliyekuwa...
View ArticleTOFAUTI NA UIGIZAJI HIKI NDICHO ANACHOKIFANYA KENYATTA
MC KENYATTA AKIWA MAKINI KAZINI KATIKA KAZI YAKE YA UMC MC KENYATTA AKIWA KAZINI KENYATTA NI MSANII MAHILI SANA WA SIKU...
View ArticleVichwa 8 vya habari kwenye TV za Tanzania August 3 2016
Mtu wangu kama utakua ni mpenzi wa kutazama taarifa ya habari na hukupata time ya kutazama taarifa ya Habari ya August 3 2016 kupitia TV za Tanzania usijali millardayo.com inakupatia fursa ya kutazama...
View ArticleUTAFITI: Wasichana Wanaopenda Kuvaa Nguo Ndefu/Suruali Wana Miguu Myembamba!
Kwa kipindi kirefu nimejaribu kuwafuatilia wasichana wanaopenda kuvaa magauni au sekti ndefu katika karne hii ya ishirini na moja ili nijue kwamba wanavaa hivyo kutunza maadili ya Mwafrika au wana...
View ArticleSUDAN KUSINI: Rais Salva Kiir Amemfukuza Kazi Waziri wa Maji na Umwagiliaji,...
SUDAN KUSINI: Rais Salva Kiir amemfukuza kazi Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mabior Garang.Sababu za kufukuzwa kwake bado hazijawekwa wazi, nafasi yake imechukuliwa na Sofia A. Gai
View ArticleMSANII GABO ZIGAMBA APATA AJALI MBAYA
Mwigizaji wa bongo movie Gabo Zigamba amepata ajali ya gari akielekea kutembelea kwenye hifadhi ya Ruaha ikiwa ni muda mfupi tu toka alipotembelea kituo cha Watoto yatima na kutoa misaada Iringa.Gabo...
View ArticlePICHA: GARI LA KUBEBA ABIRIA LENYE UWEZO WA KUPITA JUU YA MAGARI MENGINE.
Basi la kipekee lenye urefu wa mita mbili juu linaloruhusu magari ya kibinafsi kupitia mvunguni mwake limefanyiwa majaribio katika mji wa Hebei kaskazini mwa Uchina. Dhumuni kubwa la kutengeneza basi...
View ArticleHUYU Ndio Mwanaume Anaemzuzua Shamsa Ford Kimapenzi Kwa Sasa....
Mfanyabiashara wa nguo ‘Chidi Mapenzi’ yupo mbioni kufunga ndoa na mwigizaji Shamsa Ford baada ya hivi karibuni kumtolea barua mrembo huyo.uigizaji huyo alikaririwa na gazeti la Mtanzania akisema...
View ArticleTundu Lissu Akamatwa na Jeshi la Polisi Akiwa Singida.....Msigwa Ahutubia...
Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amekamatwa na polisi muda mfupi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika mji mdogo wa Ikungi, Singida.Wakati Lissu akiwa mikononi mwa polisi,...
View ArticleWaziri Mkuu Atoa Siku Moja Kwa Manispaa Ya Morogoro Kutangaza Maeneo Kwa...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku moja kwa uongozi wa Manispaa ya Morogoro kutenga maeneo maalumu kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo na kuyatangaza kesho ( leo ).“Mbali na kutenga maeneo pia...
View ArticleHongera sana Godfrey Na Angela mungu awape kila la kheri
Hongereni sana maharusi wetu Geofrey na AngelaFor Booking Please Call Mc Dr CheniVODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Mmependeza sanaBOFYA HAPA KUONA PICHA NYINGINE
View Article