Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lowassa Uso Kwa Uso na Nape Nnauye Wakati wa Kuaga Mwili wa Mwandishi wa...

Aliyekuwa mgombea urais kupitia Chadema na Ukawa, Edward Lowassa amekutana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Mnauye leo katika jumuiko la kuuaga mwili wa aliyekuwa Mpigapicha wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MO Kukabidhiwa Simba SC Hali Bado Tete

Baada ya mkutano mkuu wa klabu hiyo uliofanyika leo katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi, Oyesterbay, ambao ulikuwa na ajenda 10, moja kati ya ajenda hizo ilikuwa ikizungumzia taarifa ya kamati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kiki zinawapa Taabu Wasanii Wengi Sasa - Prof Jay

Mbunge wa jimbo la Mikumi na msanii ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa 'Kazi Kazi' Professor Jay amefunguka na kusema kuwa wasanii wengi hivi sasa wanapata taabu na kitu kinachoitwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nay wa Mitego Aanza Kuuza Mkaa Baada ya Kufungiwa Muziki...Tazama Video Hapa

Mchekeshaji Stan Bakora ameendelea na utani wake ambapo Ijumaa hii ameachia video ya kumdhihaki rafiki yake Nay wa Mitego baada ya kufungiwa na BASATA.TAZAMA VIDEO:

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nay wa Mitego Apiga Magoti Nakuwaomba Msamaha Watanzania

“Wakati naandika wimbo “Pale Kati” nilikua nimeangalia nyimbo zilizowahi kutoka nyuma na zilizoko sokoni sasa, sikuona kama mistari yake ina matatizo. Lakini baada ya kukaa pamoja na kusikiliza mstari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbowe Ahojiwa na Kuachiwa Kwa Dhamana.......Tundu Lissu Asisitiza Oparesheni...

MWANASHERIA Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema licha ya viongozi wa chama hicho kutishwa, kukamatwa na kuhojiwa na Jeshi la Polisi, bado msimamo wao kuhusu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakili Kibatala: Mkurugenzi wa Bagamoyo Aliyetumbuliwa na Rais Magufuli...

Mkurugenzi wa Sheria wa Chadema, Peter Kibatala amempa pole aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Azimina Mbilinyi kwa kuenguliwa kwenye nafasi hiyo, ikiwa ni siku moja baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Asema Hatagawa Chakula cha Bure Kwa Watakaopatwa na Janga la...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema serikali yake haitagawa chakula cha bure kwa wananchi wanaopatwa na tatizo la njaa pasipo kuwa na sababu za msingi na badala...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Jumatatu Ya Agosti 1,2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mikojo ya walevi kutumika kutengenezea bia

GHENT, UbeligijiWATUMIAJI wa pombe sasa wataweza kupata auheni ya bei ya vinywaji hivyo, baada ya wanasayansi kugundua kifaa maalumu kitakachotumika kubadilisha mikojo ya walevi kutumika kutengenezea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbowe: Mpango wa kuhamia Dodoma ni wa kukurupuka

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakitotekeleza mpango wa kuhamia Dodoma kwani ni wa kukurupuka.Msimamo huo umetolewa jana na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe alipozungumza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTI WENYE SURA YA DONALD TRUMP WAONEKANA UINGEREZA

Na Leonard Msigwa/GPLDUNIA ina maajabu mengi, wakati joto la uchaguzi nchini Marekani likiwa limepamba moto, mti wenye sura inayofanana na mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya Chama cha Republican,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAWA NDIO WANAHIPHOP 5 WENYE PESA NYINGI 2016

It’s all about the Benjamiz na bado wanaendelea kuzitaguta hawa jamaa watano. Wana nguvu sana kwenye muziki wa Hiphop na wametajwa na forbes.com kwamba ndio wanapesa nyingi kuliko wasanii wengine wote...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BOOK MC DR CHENI NOW

BONYEZA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Katoa Maagizo Mazito Kwa Viongozi Wote Hapa Nchini........Pia...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewaagiza viongozi wote wa kuanzia ngazi ya Mkoa hadi Kitongoji hapa nchini kufuatilia matumizi ya fedha zinazotolewa na Serikali kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mchungaji awapachika mimba wasichana 20 Huko Kenya

Nchini Kenya amewapachika mimba wasichana 20.Mchungaji huyo amesema hiyo ni Baraka amewasambaza wanadada hao.Chanzo :CRI kiswahili 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bilionea wa Chadema Mustapha Jaffer Sabodo Akitosa Chama Hicho.........Aahidi...

MFANYABIASHARA maarufu, Mustapha Jaffer Sabodo ametangaza kutoa dola za Marekani bilioni 5 (Sh trilioni 10) kwa ajili ya kuwekeza mkoani Dodoma, ikiwa ni njia ya kumuunga mkono Rais John Magufuli...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Tanzania Jumanne ya Agosti 2,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha za utupu za kisagaji za mke wa Donald Trump zasambaa

Gazeti la New Daily News limechapisha picha za utupu za mke wa mgombea urais wa Marekani kupitia chama cha Republican, Donald Trump, Melania.Limeandika kuwa miaka mitatu kabla ya kukutana na mume wake,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale akamatwa na Polisi leo asubuhi

Meneja wa mwanamuziki wa kimataifa Diamond Platnumz, Hamis Tale Tale maarufu kwa jina la ‘Babu Tale’ hivi sasa yupo mikononi mwa polisi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.Babu Tale amekamatwa leo na...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live