Mtu wangu kama utakua ni mpenzi wa kutazama taarifa ya habari na hukupata time ya kutazama taarifa ya Habari ya August 3 2016 kupitia TV za Tanzania usijali millardayo.com inakupatia fursa ya kutazama vichwa vya Habari kupitia TV za Tanzania.
Kichwa cha habari kutoka ITV…Dar es salaam
NACTE yafutia usajili vyuo vitano vingine 41 kuzuiwakuendesha mafunzo
![20160803_201421]()
Kichwa cha habari kutoka ITV…Viwanja vya Ndege
TAA imeagizwa kutatua matatizo ya viwanja vya ndege
![20160803_201801]()
Kichwa cha habari kutoka Azam TWO…NRA, AFP, DM, Vyaipinga Chadema
![20160803_201436]()
Kichwa cha habari kutoka Azam TWO…Je, Kiswahili Chatosha Kufundishia?
![20160803_202606]()
Kichwa cha habari kutoka Azam TWO…Majaliwa Awapa Raha Machinga Moro
![20160803_202224]()
Kichwa cha habari kutokaTBC 1…Vyama vya Ushirika Lawamani kwa Ubadhirifu wa Fedha za Wakulima
![20160803_201751]()
Kichwa cha habari kutoka Star TV…MAPUNGUFU Vyuoni
NACTE yavifungia vyuo vitano
Kichwa cha habari kutoka Star TV… Tuhuma za Uchochezi
Watu wawili washikiliwa na Polisi Mbeya
![20160803_201618]()