$ 0 0 SUDAN KUSINI: Rais Salva Kiir amemfukuza kazi Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mabior Garang.Sababu za kufukuzwa kwake bado hazijawekwa wazi, nafasi yake imechukuliwa na Sofia A. Gai