Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mabadiliko Ya Tarehe Ya Kuripoti Katika Makambi Ya Jkt Kwa Vijana Wa Form Six...

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linautangazia umma mabadiliko ya tarehe ya kuripoti makambini vijana wote waliohitimu kidato cha sita mwaka 2016 na kuchaguliwa kujiunga na mafunzo ya JKT kwa mujibu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nyongeza Ya Majina ya Vijana Waliomaliza Kidato cha 6 Wanaotakiwa Kujiunga na...

 BONYEZA HAPA KUONA JINA LAKO NA KAMBI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Ashiriki Katika Hafla Ya Utoaji Wa Tuzo Za Rais Kwa Wazalishaji...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wadau mbalimbali wa CTI na kutoka Sekta ya Viwanda nchini kabla ya kutoa Tuzo za Rais kwa viwanda vilivyofanya vizuri kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maalim Seif asema yeye ndio Rais wa watu na Dk Shein ni Rais wa Jecha

KATIBU Mkuu Wa Chama Cha Wananchi wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad alimeliyambia jeshi la polisi kuwa yeye ndie Rais wa wananchi wa Zanzibar aliyechaguliwa Octoba 25 katika Uchaguzi Mkuu na Dk Ali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fahamu hizi dalili 9 kuwa wewe si ‘baby number one’ bali ni mchepuko tu!

Wanaume wengi ni wataalam wa kuwa na uhusiano na wanawake wengi kwa wakati mmoja. Sasa kwa msichana unayesoma makala hii, hizi ni dalili 9 kuwa huenda wewe si ‘baby number one’ wake bali ni mchepuko...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Alicia Keys Pens An Essay On Why She Is Embracing #nomakeup

Photo Credit:Paola-kudackiI am a huge and long time fan of Alicia Keys. She was my crush. It comes as no surprise why I am always pleased to see her pushing herself to some unknown depths. I like her...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNHCR yakadiria watu 880 wamekufa wakijaribu kuvuka bahari ya Mediterranean

Wahamiaji wakiokolewa na jeshi la majini la Italy kwenye bahari ya Mediterranean. Shirikisha Inakadiriwa wahamiaji na wakimbizi 880 wamekufa wakati wakijaribu kuvuka bahari ya Mediterranean wiki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SNURA AKINUKISHA ZANZIBAR,SHOW YAKE YAACHA GUMZO KUBWA..AKATA KEKI LIVE NA...

Snura Chura Performance photos at Zanzibar Night of ChuraBOFYA HAPA KUONA PICHA NYINGINE 50

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HARMONIZE AMWANGUKIA WEMA SEPETU,AOMBA RADHI KWA VIDEO YAKE YA KEJELI..SOMA...

Finally bongo fleva artist from Tanzania Harmonize has asked for forgiveness to Bongo Movie actress wema sepetu for his mis behaving of posting a Video insulting wema sepetu that she has the tendency...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bifu la Lulu Michael na Hamisa Mobeto Mtandaoni Lasababisha Mange Kimambi...

Lile bifu linolotikisa kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, linalowahusisha mastaa wenye mvuto wa aina yake bongo, namzungumzia Hamisa mobeto (I phone) na lulu michael (Techno) limefikia mahali pabaya....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Jumatano ya June 1,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Babu Tale Alimtelekeza Chidi Benz Sobber House - Mkuu wa Kituo

Akizungumza na E news ya East Africa Tv mkuu wa Bagamoyo sobber house amesema chanzo cha Chidi Benz kuondoka kwenye kituo chao ni kutelekezwa na waliompeleka.Anasema tangia Chidi apelekwe pale hakukuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video : Idris Sultan Aanza Kutoza Pesa Kwa Wanaotaka KIKI Kutoka Kwake

Kiki ndio kila kitu hapa mjini, wasanii na watu wengi hapa Bongo wamekua maarufu kutokana na Kiki au Skendo zinazosambazwa kuwahusu wao. Wapo waliofanikiwa hadi maisha yao kua mazuri kutokana na kiki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND PLATNUMZ AONYESHA MALI ZAKE..SEE THE PHOTOS

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shilole, Baunsa Wazichapa

Musa Mateja, RISASI MCHANGANYIKODAR ES SALAAM: Mtiti! Msanii nyota wa Muziki wa Kizazi Kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ wikiendi iliyopita alitoa kali ya mwaka, baada yaBONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBONZO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mauaji ya Kutisha: Watu 8 Wakamatwa Kwa Mwenyekiti wa Kitongoji na Kuchinjwa...

MAUAJI ya Watanzania kwa njia ya kuchinjwa yanaendelea kushika kasi baada ya usiku wa kuamkia jana wakazi wanane wa kitongoji cha Kibatini, kata ya Mzizima jijini Tanga kukusanywa kwa mwenyekiti wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa toka Ikulu kuhusu uteuzi Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TANESCO

TAARIFA KWA UMMARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Dkt. Alex L. Kyaruzi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shein: Hakuna Mtu Wala Nchi Yakuweza Kuniondoa Madarakani

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema hakuna nchi au jumuiya za kimataifa zitakazomwondoa madarakani yeye kwa sababu amechaguliwa kihalali na wananchi kwa kura nyingi kwa mujibu wa Katiba.Dk...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sikumkosea heshima Rais Kenyatta kwa kutohudhuria maadhimisho, asema Raila

Kiongozi wa muugano wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, amesema hakususia maadhimisho ya Madaraka Day mjini Nakuru, kufuatia mwaliko wa rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo, na akaeleza kwamba mwaliko...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live