Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Sikumkosea heshima Rais Kenyatta kwa kutohudhuria maadhimisho, asema Raila

$
0
0

Kiongozi wa muugano wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, amesema hakususia maadhimisho ya Madaraka Day mjini Nakuru, kufuatia mwaliko wa rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo, na akaeleza kwamba mwaliko huo ulitolewa nyakati za mwisho mwisho.

Awali, kwenye hotuba yake katika uwanja wa Afraha mjini Nakuru, Bwana Kenyatta alieleza kutoridhika kwake na viongozi wa upinzani ambao hawakuhudhuria hafla hiyo ya kuadhimisha miaka 53 tangu Kenya kupata Uhuru wa ndani, licha ya kualikwa.
Bwana Odinga alizungumza na Sauti ya Amerika kwa njia ya simu kutoka mjini Nairobi, Kenya:

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles