Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Yaliyojiri MAISHA BASEMENT kwenye usiku wa kumkumbuka marehemu ALBERT MANGWEAR

 Pichani ni wasanii wakongwe kwenye Bongo Fleva namzungumzia TID na Jay Moe wakiwa stejini usiku wa jana tarehe 29 akiwa ni show ya kumkumbuka Albert Mangwear aliyefariki miaka 3 iliyopita tarehe 28th...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ndani ya siku 20 tu, Mabasi 34 ya DART, yashapata ajali

Zaidi ya mabasi 34 katika mradi wa mabasi yanayoenda haraka yamepata ajali kwa kipindi cha siku 20 toka kuanza rasmi mradi huo kutokana na baadhi ya wananchi na madereva wa magari ya kawaida kutumia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Alikiba Akanusha Kumuimbia Jokate Wimbo ‘Aje’

Alikiba amesema Aje si wimbo aliomuimbia Jokate wala msichana yeyote bali aliimba kwaajili ya mashabiki wake.“Sijamuimbia mtu yeyote kwa kweli, mi nimeimba kwa ajili ya mashabiki wangu, kwanza sijawahi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tundu Lissu na Esther Bulaya Wafungiwa Kuhudhuria vikao vyote vilivyobaki vya...

Tundu Lissu na Esther Bulaya wafungiwa kuhudhuria vikao vyote vilivyobaki vya bunge la bajeti na bunge lijalo la mwezinwa tisa. Vilevile Zitto Kabwe, Pauline Gekul, Godbless Lema na Halima Mdee...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTU MMOJA ANASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA ANNETH MSUYA

Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishina (CP), Simon Sirro akizungumza na waandishi wa habari (hawapo picha) juu ya Jeshi lake kuendelea na operesheni mbalimbali jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwalimu Atiwa Mbaroni Kwa Tuhuma za Kumkuwadia Mwanafunzi Wake

Mwalimu wa Shule ya Msingi Nyaigabo iliyopo Kijiji cha Musati wilayani Serengeti, Mkoa wa Mara anatuhumiwa kumkuwadia kijana anayemuuzia duka kwa kumpelekea mwanafunzi na kusababisha apate ujauzito....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mke wa Trafiki Kinyogori Adaiwa Kukiri Kumuua Mumewe

MKE wa askari polisi wa kikosi cha usalama barabarani (trafiki), Sajenti Ally Salum (Kinyogori) aliyeuawa hivi karibuni, inadaiwa amekiri kuhusika kwenye mauaji hayo, akidai ilitokana na mumewe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA MJUMBA WA MICHEAL JACKSON UNAUZWA DOLAMILLIONI 9.5 SEE THE PHOTOS

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) Profesa Tunus Mgaya...

ALIYEKUWA Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU), Profesa Tunus Mgaya amesema amesikitishwa na taarifa zilizoandikwa katika vyombo vya habari za kukosoa maamuzi ya serikali ya kuwasimamisha kazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Jumanne ya May 31,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kosa lililowasimamisha Wabunge Saba wa Upinzani

Bunge jana limeazimia kuwasimamisha vikao wabunge 7 wa kambi ya upinzani kwa kosa la kukiuka sheria na kanuni za bunge na kushinikiza kujadiliwa kwa hoja ambayo imekwisha tolewa maamuzi kinyume na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond Platnumz Aonyesha Bastola yake

The CEO of Wasafi Records, Diamond Platnumz, has now joined the list of celebrities who are believed to be walking around with guns.Well this comes days after he shared a photo on his gram posing with...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND:" HAKUNA RECORD LABEL AMBAYO NAWEZKUBALI INISAINISHE WATANIFANYIA...

 Diamond Platnumz hana mpango wa kuwa chini na record label yoyote duniani. Infact hitmaker huyo amedai kuwa makampuni kibao yamewahi kummendea yakitaka awe chini yake lakini akayapiga kibuti. BONYEZA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zitto Kabwe Ameandika haya baada ya kutangazwa kusimamishwa vikao bungeni

Haya ndiyo aliyoyaandika Zitto KABWE kupitia mtandao wake wa Twitter baada ya sakata la kusimamishwa  BUNGENI.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahaba:Tazama Wolper akichuma matembele ukweni kwa kina Harmonize

BONYEZA HAPA KUONA PICHA NYINNGINE NA VIDEO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nyongeza Ya Majina ya Vijana Waliomaliza Kidato cha 6 Wanaotakiwa Kujiunga na...

 BONYEZA HAPA KUONA JINA LAKO NA KAMBI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hongera sana hidaya usiku wako ulikua wakipekee autajirudia mungu akutangulie...

Bwana na bi harusi mtarajiwa Ben na hidaya picha kwa hisan ya Mc Dr Chen unaitaji kupigiwa picha zenye ubora basi tuone tukabidhi tukupigie picha kwenye sherehe yako             Mc Dr Chen na bi harusi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KARIBU UTANGAZE BIASHARA YAKO HAPA BEI ZETU NI NAFUU SANA

LEWIS MBONDE BLOG Audience: Readers of our blog 1,489,749TANGAZO KUBWA LA JUU TOP AD BANNER 100,000/= KWA MWEZITANGAZO SIZE YA KATI  LA PEMBENI SIDER BANNER  80,000/= KWA MWEZITANGAZO DOGO 50,000/= KWA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION

CALL +255 658 194 194 BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wolper adai amefilisiwa na Mkongo , amejikuta hana gari wala sehemu ya kulala

Msanii wa filamu, Jacqueline Wolper baada ya kukiri kwamba anatoka kimapenzi na Harmonize, amefunguka na kueleza madai ya kufilisiwa na Mkongo ambaye alikuwa mpenzi wake wa zamani.Akiongea katika promo...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live