Nay: Gigy Anatafuta Kiki Kwangu
MKALI wa Ngoma ya Saka Hela, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameamua kumfungukia muuza nyago kwenye video za Kibongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ kuwa anatafuta kiki kutumia jina lake katika...
View ArticleDeal ya Ali Kiba na Sony, Makosa Yanayojirudia
Huko kwenye mitandao ya kijamii kumechafuka habari ya Ali kusign deal na Sony wengi wakiamini huo ndio utakuwa mwanya wa msanii huyo kutoboa kimataifa.. Jambo ambalo mashabiki wake wanashindwa kuelewa...
View ArticleRais Magufuli Atoa Salamu za Pole kwa Wakazi wa Jiji la Mwanza Kufuatia...
Rais John Magufuli ametoa salamu za pole kwa wakazi wa mkoa wa Mwanza, kutokana na mauaji ya watu watatu, waliouawa kwa kukatwa mapanga wakiwa msikitini.Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano...
View ArticleKigogo wa CCM Ataka Maalim Seif Sharif Hamad Akamatwe
Kigogo wa CCM aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Sukwa Said Sukwa amevishauri vyombo vya dola visiwani Zanzibar kumchukuliwa hatua haraka Katibu...
View ArticleSerikali Yajibu Hoja za Kivuko cha MV Dar es Salaam na Uuzwaji wa Nyumba Zake
Serikali imejibu hoja za upinzani kuhusu uuzwaji wa nyumba za Serikali na kutetea ununuzi wa kivuko cha MV Dar es Salaam ambacho kilitakiwa kufanya safari zake kati ya Dar na Bagamoyo. Hoja hizo...
View ArticleTASWIRA YA VIJANA WALIOMBAKA MSICHANA GESTI NA KUMWINGILIA KINYUME NA...
Washtakiwa Vinara Idd Adamu (32) mkazi wa Makambako kulia na Zuberi Thabiti (30) mkazi wa Mbarali mkoani Mbeya kushoto wakiwa kwenye gari la polisi tayari kurudishwa mahabusu ya magereza mkoa wa...
View ArticleSamatta Acheza Dakika 90, Aisaidia Genk Kupata Ushindi Mnono
Mbwana Samatta amecheza dakika zote 90 za mchezo kati yake ya Genk dhidi ya Anderlecht na kuisaidia Genk kuibuka na ushindi wa magoli 5-2 katika kampeni za kuhakikisha timu yao inapata nafasi ya...
View ArticleGardner Amjibu Lady Jay Dee, Agoma kuomba Radhi Hadharani...Soma Barua ya...
Hatimaye mtangazaji wa Clouds Fm, Gardner G. Habash amemjibu aliyekuwa mkewe, Lady Jay Dee, aliyemtaka aombe radhi ndani ya siku saba kwa kauli aliyoitoa iliyodaiwa kuwa imelenga kumdhalilisha. Katika...
View ArticleSakata la Mauaji Msikitini Mwanza: Kundi la Kigaidi la ISIS lahusishwa
YADAIWA ni kisasi baada ya Polisi kuwakamata wanaharakati wa IS saa 24 kabla."baada ya swala kumalizika, watu hao waliingia na kuwaamuru kulala chini huku wakitoa bendera nyeusi na maandishi ya meupe...
View ArticleDiamond ni Noma! Achaguliwa Tena Tuzo za BET Marekani
Best International Act AfricaAKA (SOUTH AFRICA)BLACK COFFEE (SOUTH AFRICA)CASSPER NYOVEST (SOUTH AFRICA)DIAMOND PLATNUMZ (TANZANIA)MZVEE (Ghana)SERGE BEYNAUD (COTE D’IVOIRE)WIZKID (NIGERIA)YEMI ALADE...
View ArticleMbunge Goodluck kasema na wanaoponda kauli yake ya sanamu ya Diamond
Baada ya headlines nyingi kuandikwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kauli ya Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga alipokuwa akichangia katika bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo May...
View ArticleCHECK VIDEO ALIYEKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AKIJIBU SWALI BUNGENI AKIWA...
Moja ya stori kubwa Tanzania leo May 20 2016 ni pamoja na hii ya maamuzi ya Rais John Pombe Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga.Taarifa iliyonifikia ni kwamba...
View ArticleNEYO APOKELEWA KAMA MFALME JIJINI MWANZA
Msanii wa Kimataifa kutoka nchini Marekani Neyo amewasili jijini Mwanza jioni hii akitokea Dar es Salaam na kupokelewa na umati mkubwa wa wakazi wa jiji hilo kama Mfalme katika Uwanja wa Ndege wa...
View ArticleBREAKING NEWS:ALIYEKUWA MKURUGENZI WA JIJI LA DAR, WILLSON KABWE AFARIKI DUNIA
Inadaiwa amefariki dunia akiwa nchini India alikokuwa kwa matibabu.Aidha, inasemekana tangu siku ile wamtumbue jipu ktk Daraja la Kigamboni (Nyerere Bridge) alikuwa shocked sana alikuwa kalazwa India...
View ArticleWaziri Mkuu Afafanua Kuhusu Kutenguliwa Kwa Uteuzi Wa Waziri Kitwanga
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema uamuzi wa Rais Dk. John Pombe Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani, Bw. Charles Kitwanga umefuata kanuni za utumishi wa umma ambao unakataza mtumishi...
View ArticleLEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI...
LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBEPIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
PROJECT PROPOSAL ............................................................300,000/=RESEARCH PROPOSAL WRITTING.......................................250,000/=RESEARCH PAPER...
View Article