Basi Lingine la Mwendo Kasi Dar Lagongwa
Basi la mwendo kasi limepata ajali katika junction ya Sheikh Yahya, Magomeni baada ya gari binafsi kupiga "u-turn" sehemu isiyoruhusiwa.
View ArticleMaoni ya Zitto Kabwe baada ya Rais Magufuli Kumfuta kazi Waziri Charles...
Habari kubwa iliyoteka vyombo mbalimbali vya habari jana usiku ni habari ya Rais Magufuli Kumfuta kazi Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Charles KitwangaMbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi wa chama cha...
View ArticleMwanafunzi Mbaroni kwa Kuwatukana Rais wa Zanzibar, Mkuu wa Majeshi
Mwanafunzi Mbaroni Kwa Kumtukana Rais Wa Zanzibar Dkt.shein Pamoja Na Mkuu Wa Majeshi Mwamunyage.Jeshi la polisi mkoani Arusha linamshikilia mwanafunzi wa Mwaka wa tatu wa chuo cha maendeleo ya jamii...
View ArticleMke wa Askari Kinyogoli Atiwa Mbaroni Kufutia Kifo cha Mumewe Aliyeuawa Kwa...
Watu 15 akiwamo mke wa marehemu, Sajenti Ally Salum Kinyogoli wanashikiliwa na polisi wakihusishwa na tukio la kuuawa kwa askari huyo wa kikosi cha usalama barabarani usiku wa kuamkia jana. Kinyogoli...
View ArticleMama Amuua Mtoto wake Kwa Kipigo Baaada ya Kumtuhumu Kumuibia Sh. 8000
Mwanamke mmoja anashikiliwa na polisi wilayani Bunda, mkoani Mara kwa tuhuma ya kumuua mtoto wake kwa kipigo, baada ya kumtuhumu kumuibia Sh 8,000.Kamanda wa polisi mkoani Mara, Kamishina Msaidizi wa...
View ArticleA-Z Shoo ya Jide Mlimani City
Malkia wa Bongo Fleva, Lady Jay Dee na bendi yake wakikamua katika shoo yake ya Naamka Tena Concert iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar usiku wa kuamkia leo.Jide akizidi kukamuaBurudani...
View ArticleHakuna Mtumishi wa Umma Atakaesafiri Bure na Mabasi ya Mwendo Kasi
Wakala wa mabasi yaendayo kwa haraka nchini Tanzania -UDART imesema kuwa suala la watumishi wa umma wakiwemo walimu na polisi kupanda bure katika mabasi hayo bado halijafanyiwa utaratibu hivyo...
View ArticleJerry Muro Amuomba Radhi Haji Manara
MKUU wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro amewaomba msamaha wapinzani wao, Simba na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa timu hiyo, Hajji Manara.Kauli hiyo, aliitoa jana...
View ArticleChimbuko la wivu na athari zake katika mahusiano!
Umewahi kuhisi unaachwa na mtu unayetarajia kumwoa au kuolewa nae? Umewahi kutamani kuwa na 'access' na simu au barua pepe ya mwenzi wako ili angalau ujisikie kutulia moyoni? Umewahi kujisikia vibaya...
View ArticleKAMA ULIPITWA NA USHINDI WA MTANZANIA MELISA JOHN KWENYE AIRTEL TRACE MUSIC...
Mshindi mpya wa mashindano maarufu ya AIRTEL TRACE MUSIC STAR MELISA JOHN akitumbuiza katika mashindao hayo ambayo yalifanyika Jijini Dar es salaam na kuibuka mshindi wa mashindano hayo kati ya vijana...
View ArticleMajina Ya Kidato Cha Sita 2016 Wanaotakiwa Kujiunga Na JKT Kwa Mujibu Wa...
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2016, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria....
View ArticleMATUKIO YA PICHA BUNGENI DODOMA, JUMAMOSI 21 MEI, 2016
Mbunge wa CHADEMA, Mhe. Mwita Mwikwabe Waitara (kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge mwenzie kuelekea ndani ya Bunge mjini Dodoma leo 21 Mei, 2016 kwa ajili ya vikao vya asubuhi siku ya Jumamosi...
View ArticleSpika Ndugai Msaidie Rais Magufuli kwa kuzuia walevi wasiingie Bungeni
Kwanza kabisa napenda kumpongeza Rais Magufuli kwa hatua alizochukua dhidi ya aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ya Bwana Kitwanga kwa kwa kosa la ulevi wakati wa kazi, hii imeonyesha dhahiri kuwa Rais...
View ArticleVichwa 11 vya Habari kubwa kwenye TV za Tanzania May 21 2016
Kama utakua ni mpenzi wa kutazama taarifa ya habari na hukupata time ya kutazama taarifa ya Habari ya May 21 2016 kupitia TV za Tanzania usijali millardayo.com inakupatia fursa ya kutazama vichwa 10...
View ArticleMnara wa majina ya watu waliozama na meli ya mv Bukoba Bwiru Mwanza.
May 21, kila mwaka Tanzania ni kumukumbu ya ajali ya meli ya Mv. Bukoba iliyozama ndani ya ziwa Victoria ikitokea Bukoba mkoa wa Kagera kuja Jijini Mwanza na zaidi ya Watanzania 1,000 walipoteza maisha...
View ArticlePicha15: Waziri Nape, Makamba na Flaviana Matata kwenye Ibada ya Kumbukumbu...
May 21 2016 Tanzania inaingia kwenye majonzi ya kumbukumbu ya kuzama meli yaMv Bukobandani ya ziwa Victoria leo ni miaka 20 tangu meli izame mwaka 1996, Watanzania zaidi ya BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleUPDATES:WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA NIMEKUWEKEA VIKOSI VYOTE VYA JKT..TAZAMA...
Vikosi Walivyopangiwa Vijana kwa mujibu wa Sheria 2016 Tafadhali bonyeza Hapa
View ArticleMWANACHUO BENADETHA MSIGWA ANAOMBA MSAADA ILI AKATIBIWE MACHO
Jamani wapendwa kuna mwanafunzi mwenzetu amepata upofu akiwa chuo na sisi kama wanafunzi tumeamua kumchangia pesa kama inawezekana akatibiwe ila inahitaji kama milion 30 kwa hiyo kwa yeyote...
View ArticleLEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI...
LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBEPIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
PROJECT PROPOSAL ............................................................300,000/=RESEARCH PROPOSAL WRITTING.......................................250,000/=RESEARCH PAPER...
View Article