Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

CHECK VIDEO ALIYEKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AKIJIBU SWALI BUNGENI AKIWA AMELEWA LIVE

$
0
0
Moja ya stori kubwa Tanzania leo May 20 2016 ni pamoja na hii ya maamuzi ya Rais John Pombe Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga.Taarifa iliyonifikia ni kwamba Rais Magufuli amemfuta Waziri Kitwanga kutokana na kuingia Bungeni kujibu swali linalohusu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakati akiwa amelewa.
Hii ndio video ikimuonyesha Waziri Kitwanga akijibu maswali hayo Bungeni leo…


Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles