Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Mbunge Goodluck kasema na wanaoponda kauli yake ya sanamu ya Diamond

$
0
0

Baada ya headlines nyingi kuandikwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kauli ya Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga alipokuwa akichangia katika bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo May 13 2016 na kusema...
"Ingekuwa amri yangu tungechonga sanamu la Diamond tukaliweka kwenye mnara wa Askari, ule mnara tumeuchoka. Ametufikisha mbali na ameitangaza nchi yetu huko mbele"
AYO TV imemtafuta leo na kufanya naye Exclusive interview ambapo hapa anaelezea kwanini alitoa kauli ile na anachotaka watu wamuelewe…


Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles