Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vichwa 8 vya Habari kubwa kwenye TV za Tanzania May 16 2016

Kichwa cha Habari kutoka ITV…Morogoro Watu 11 wakamatwa kwa tuhuma za kumdhalilisha mwanamke wa miaka 21Kichwa cha Habari kutoka ITV…Bungeni Dodoma Msemaji wa kambi ya upinzani asusia kuwasilisha maoni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Penzi la Diamond, Kiba Lamtesa Jokate

Siri imevuja kuwa penzi la vinara wawili wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond PlanumZ’ na Ali Saleh Kiba ‘King’ linadaiwa kumtesa mlimbwende Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ ambaye amekuwa akijutia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yazidi kumg'ang'ania Zombe, yafufua kesi yake kivingine

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amemuondolea kosa la mauaji aliyekuwa mkuu wa upelelezi wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abdallah Zombe na sasa inataka ajibu mashtaka ya kuficha wahalifu.DPP amefanya mabadiliko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Jumanne ya May 17 2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Walimu 35,411 Kuajiriwa Mwezi wa 7 Mwaka Huu

Walimu 35,411 nchini wataajiriwa katika shule za msingi na sekondari katika mwaka wa fedha 2016/2017.Watakaokaidi kwenda kuripoti katika mikoa ya pembezoni, hawataajiriwa na serikali.Hatua hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA

 Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni         TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION

PROJECT PROPOSAL ............................................................300,000/=RESEARCH PROPOSAL WRITTING.......................................250,000/=RESEARCH PAPER...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking News:David Kafulila ameshindwa katika kesi aliyoifungua kupinga...

TABORA: Aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila ameshindwa katika kesi aliyoifungua kupinga ushindi wa Hasna Mwilima wa CCM.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI...

LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sababu 5 kwanini wanawake wenye akili nyingi hupata tabu ya kupata mapenzi...

Akili nyingi ni zawadi na laana. Wanapojiangalia kwenye kioo, wanawake wenye akili nyingi huona picha ya mtu mwenye nguvu mwenye malengo, anayejua anachotaka. Kuwa na akili nyingi ni kitu muhimu kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kutoielewa sheria ya makosa ya mtandao kutawaponza wengi

Tecno, Huawei na simu zingine za sqmartphone zenye bei chee zimewafanya watu wengi kuweza kufaidi ukuaji wa teknolojia. Lakini pia uwepo wa simu hizo, usingeweza kukamilika pasipo makampuni za mitandao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mabasi ya Mwendo Kasi ‘Yawatema’ Askari na Walimu

HUDUMA ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka imeanza rasmi jana jijini Dar es Salaam huku yakilalamikiwa na watumiaji wakiwemo baadhi ya watu waliokuwa na msamaha wa kusafiri bila kutoa nauli, ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue Sasa Amestaafu Bila...

Aliyekuwa Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue sasa amestaafu bila kupangiwa kazi nyingine kama alivyoahidiwa na Rais John Magufuli siku aliyomteua Balozi Injinia John Kijazi kushika wadhifa huo na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mjane Aliyemwaga Machozi Mbele ya Rais Magufuli Akabidhiwa Nyumba Yake

Hatimaye mjane aliyemwaga machozi mbele ya Rais John Magufuli akidai kudhulumiwa mali ya urithi, amepewa nyumba na shamba baada ya Mkuu wa Wilaya ya Babati mkoani Manyara, Crispin Meela kusuluhisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nakua Kama Chizi Kwa Wivu wa Mke Wangu...

Nina mke mmoja ambae tunapendana sana tatizo ana WIVU kupindukia.Ninapoingia tu home ananidaka na kuninusa nguo,akisikia pafyum kwa mbali MATATIZO,mim situmii pafyum ila usafiri wa kwetu ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIJIPU UPERE NDANI BARABARA YA MAGARI YA MWENDO KASI

Hivi jamani watanzania tutabadilika lini maana sijui kuna watu wengine kama hawaelewi, wamekuambia hiyo ni barabara ya magari ya mwendo kasi na wewe unaunga nyuma yake. Ilo gari la wagonjwa tunaweza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAISHA: Uzuri wa Mke ni Tabia. Je, Uzuri wa Mume ni Nini?

Huwa nasikia mara nyingi watu wakisema na hata kuimba ni nini. Msisitizo umekuwa kuweka vigezo vya kijumla kwa mwanamke, sijaona kukiwa na msisitizo wa vigezo vya jumla kwa wanaume.Ninajua kila...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Jumatano ya May 18, 2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DR CHENI AIASA JAMII KUACHA KUWADHALILISHA WANAWAWAKE

 Ameandika maneno haya kupitia account yake ya instagram kufuatia jeshi la polisi kufanikiwa kuwakamata na kwafikisha mahakaani wale waliodhalilisha binti huko morogoro drchenitzAsanteee serikali kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Besigye ashtakiwa kosa la uhaini Uganda

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye amefikishwa mahakamani mjini Kampala na kushtakiwa kwa kosa la uhaini.Dkt Besigye alifikishwa katika majengo ya mahakama ya Nakawa mapema kabla ya saa...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live