
Watu 11 wakamatwa kwa tuhuma za kumdhalilisha mwanamke wa miaka 21

Kichwa cha Habari kutoka ITV…Bungeni Dodoma
Msemaji wa kambi ya upinzani asusia kuwasilisha maoni ya kambi hiyo

Kichwa cha Habari kutoka TBC1…Watu 11 wanashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za udhalilishaji

Kichwa cha Habari kutoka TBC1…Serikali yatoa ushirikiano wa kutosha kuhusu mkataba wa Lugumi

Kichwa cha Habari kutoka Azam TWO…Bure kwa waendao kwa miguu tu
Wakazi wa Jiji la Dar es salaam wanaotumia Daraja jipya la Mwalimu Nyerere, wanatumia daraja hilo bila malipo kupita kwa miguu, ikiwa ndio siku ya kwanza leo kuanza kulipiwa.

Kichwa cha Habari kutoka Azam TWO…Watuhumiwa wa ubakaji wanaswa

Kichwa cha Habari kutoka Star TV…Wanafunzi wawili wagongwa
Wakazi wa kisesa wafunga barabara Mwanza- Musoma baada ya wanafunzi wawili kugongwa na mmoja kufariki

Kichwa cha Habari kutoka Star TV…Mabasi yaendayo kasi Dar
Ikiwa ni siku ya kwanza kwa wakazi wa Dar kulipia, kwenye huduma ya Mabasi yaendayo kasi, vituo vyake vyakabiliwa na Changamoto mbalimbali.

ULIIKOSA EXCLUSIVE YA LULU KWANINI HAKUPOST WALA KWENDA