Mimi si Mali ya Mtu na Wala Sipo Kwa Ajili ya Kujiuza-Wastara Juma Afunguka
Staa wa Bongo Movie, Wastara Juma ambaye siku za karibuni aliomba talaka kutoka kwa mume wake amefunguka na kusema yeye sio mtu wa kujiuza, bali ni mtu ambaye anajijali na kujitunza.Wastara alisema...
View ArticleMadee Akanusha Kufumaniwa Akiwa na Shilole Chumbani Wakiwa Watupu
Msanii wa muzuki wa bongo fleva Nuh Mziwanda ambaye alikuwa akitoka kimapenzi na Shilole alisema kuwa aliumia alipomfumania Madee na mpenzi wake huyo wa zamani katika sehemu ambayo si ya wazi yaani...
View ArticleSafari Ya Mwisho Ya Mtoto Wa Issa Michuzi Maggid Muhidini Michuzi
Baba wa marehemu (mwenye kofia), Issa Michuzi akipewa pole na baadhi waombolezaji mara baada ya maziko ya mtoto wake Maggid Muhidin Michuzi (18) yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es...
View ArticleVijana Wanaovaa Suruali Chini ya Kiuno Kuchapwa Viboko 70
Wakazi wa Kata ya Karansi, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro wametoa uamuzi kuwa wanawake watakaovaa sketi fupi na vijana watakaovalia suruali chini ya kiuno, wataadhibiwa kwa kuchapwa viboko 60 hadi...
View ArticleGigy Money: Niko Kwenye Uhusiano wa Kimapenzi na Gardner Kwa Miezi 6 Sasa
Gigy Money na Mtangazaji Gadner G HabashiMUUZA sura kwenye video za Kibongo, Gift Stanford ‘Giggy Money’ amefunguka kuwa mtangazaji maarufu Bongo wa Clouds FM, Gardner G. Habash hachomoki kwake na hadi...
View ArticleWaziri Nape Alivyofafanua Suala La Kurusha Live Bunge Mjini Dodoma
Sehemu ya Majumuisho ya Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akitolea ufafanuzi suala la Bunge kurushwa Live na studio za Bunge.
View ArticleWaziri Mkuu Kassim Majaliwa Aondoka London Kurejea Nchini
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na wafanyakazi wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London wakati alipoondoka kwenye hoteli ya Intercontinental kurejea Dae es salaam Mei 15,...
View ArticleAtiwa Mbaroni Kwa Kudandia Helkopta
Polisi wa Kenya wanamshikilia mtu mmoja mjini Bungoma baada ya kuning’inia kwenye helikopta iliyoubeba mwili wa aliyekuwa mfanyabiashara Jacob Juma. Mtu huyo, Saleh Wanjala ambaye hakutoa sababu za...
View ArticleDODOMA:Hotuba ya Lema yazuiliwa kusomwa mpaka Kamati ya kanuni iipitie
Hotuba ya Kiongozi wa Kambi ya Upinzani ya Msemaji Mkuu wa Wizara ya Mambo Ndani ya Nchi, Godbless Lema imezuiliwa kusomwa.Imezuiliwa kusomwa mpaka kwanza kamati ya Kanuni ya Bunge iipitie hotuba hiyo...
View ArticleLady Jaydee Kutoa Kauli yake Leo Baada ya Kudai Kudhalilishwa na Gardner
Siku 14 tangu Mtangazaji wa Clouds Fm Gardner Habash kudaiwa kutoa lugha ya udhalilishaji dhidi ya aliyekuwa mke wake Judith Wambura, mwanamuziki huyo maarufu kwa jina la Lady Jaydee, amesema leo...
View ArticleMeseji Zingine za Mwanamuziki Harmonize na Jackline Wolper Zavuja Mtandaoni
Hii ni post nyingine inayosambaa mitandaoni ikionyesha maongezi ambayo sio ya moja kwa moja kati ya Jackline Wolper na Harmonize.Ni Couple mpya inayozungumziwa zaidi Bongo kwa sasa.
View Article'Govt calls for installation of electronic card payment'
The deputy minister for Regional Administration, Local Government, Civil Service and Good Governance,Suleiman Jafo has directed the BoT and Max Malipo to put up the system to ease payment for commuters...
View Article'Chief justice defends controversial Cybercrimes Act'
The controversial legislation, passed by parliament last year, has faced sharp criticism both at home and abroad. While local activists claim that it muzzles freedom of expression, the United States...
View ArticleWatu 12 Watiwa Mbaroni Wakituhumiwa Kuhusika na Mauaji ya Watu 7 Jijini Mwanza
Siku chache baada ya watu saba wa familia moja kuuawa kwa mapanga wilayani Sengerema mkoani Mwanza, polisi wamefanikiwa BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleHere are Twenty (20) Reasons Why You Should Visit Zanzibar – Tanzania
Zanzibar’s reputation as an island paradise is not an exaggeration. Zanzibar is actually a whole group of islands – two large islands –Ungoja and Pemba plus other small islands. The beautiful island...
View ArticleWatu 11 Wakamatwa Mkoani Morogoro Kwa Tuhuma za Kumbaka na Kumdhalilisha...
WATUHUMIWA wawili Zuberi Thabiti (30) na Iddy Adamu (32) wanaodaiwa kushirikiana kufanikisha tukio la kumbaka na kumdhalilisha binti mkulima (jina limehifadhiwa), mkazi wa Kata ya Dakawa, wilayani...
View ArticleHarmonize Ajiweka kwa Jacqueline Wolper?!
Wanasema sharing is caring. Ndiyo maana Harmonize haoni hatari kuweka kambi kwenye koloni la zamani la bosi wake, Diamond.Inaonekana si tetesi tena kwasababu CEO wa WCB mwenyewe ametoa baraka zake kwa...
View ArticleABIRIA WAKWAMA KUINGIA JIJINI MWANZA BAADA YA WANANCHI KUFUNGA BARABARA...
Wananchi na Wakazi wa Kata ya Kisesa, Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza, mapema leo wamefunga barabara ya Mwanza-Musoma katika eneo la Kisesa na hivyo kusababisha abiria wanaoingia Jijini Mwanza kutoka...
View Article