Mafikizolo Toka Sauzi Na Diamond Platinum's Wafunika Vibaya Tamasha La...
Mwanamuziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul “Diamond Platinum’s” pamoja na kundila muziki la Mafikizolo wakiimba wimbo wao wa Color of Afrika wakati wa Tamasha la Vodacom Kichuo zaidi lillilofanyika Chuo...
View ArticleChadema Waungana na CUF Kutomtambua Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza rasmi kutoitambua Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), inayoongozwa na Dk Ali Mohamed Shein.Mbali na kutoitambua Serikali hiyo, chama hicho...
View ArticleKumbe Madee Alimkwichikwichi na Shilole na Nuhu Kuwafumania !
Aisee hii hata mimi nilipitwa nayo ama kweli mimi mapenzi basi nimeyavulia Shati akuu mapenzi sio ubondia bora nijitoeLeo akihojiwa na Diva clouds Fm Mziwanda amekiri kuwa Madee alitembea na Shilole...
View ArticleMakamu wa Rais Mama Samia Suluhu Atoa Saa 24 Kuwatia Nguvuni Wale Wote...
Pichani ni makaburi yakiandaliwa kwaajili ya kuzikwa kwa miili saba ya familia moja mapema leo Wilayani Sengerema. Mhe. Makamu wa Rais leo ametembelea Wilaya ya Sengerema kata ya Sima ambapo usiku wa...
View Article'US initiative to help send more girls to school'
'US initiative to help send more girls to school'At a workshop held earlier this week (May 10-12) in Dar es Salaam, the U.S. Agency for International Development (USAID) convened local and...
View ArticleAfrica should ‘rethink big’
Africa can only earn its place on the development table by rethinking big. Time for leap-frogging is over," warned Kagame (pictured) at the World Economic Forum on Africa which ends in the Rwandan...
View ArticleJeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linafanya uchunguzi juu ya mauaji ya watu 7...
Kwamba tarehe 11.05.2016 siku ya jumatano majira ya saa 03:45hrs usiku katika Kijiji na Kata ya Sima Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza, watu wawili wasiofahamika majina wakiwa na mapanga walivunja...
View ArticleTigo Yapinga Kuwalipa AY, MwanaFA Shilingi Bilioni Mbili
Kampuni ya simu ya MIC Tanzania (Tigo) imekata rufaa kupinga hukumu iliyoamuru iwalipe Sh2 bilioni wanamuziki wawili, Ambwene Yesaya na Hamisi Mwinjuma kutokana na kutumia bila ya ridhaa yao, nyimbo za...
View ArticleRAIS MAGUFULI AONDOKA KAMPALA NA KUREJEA NYUMBANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Kikundi cha ngoma za asili cha Entebe nchini Uganda wakati akiondoka kurejea nchini.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleKenya: Watoto Waliwa na Funza Baba Kudai ni Dhambi Kuua Kiumbe chochote
WAUMINI wa Kanisa la Holy Ghost Tebernacle katika Kaunti ya Murang’a Alhamisi walimvamia mshirika mwenzao waliyemshitumu kwa kuwatesa watoto wake na uvamizi wa funza kwa 'kukataa' kuwatafutia huduma za...
View ArticleLady Jay Dee Sasa Kuitafuta Haki yake Kwa Njia ya Mahakama..Amtaka Gadner...
Lady Jay Dee Sasa Kuitafuta Haki yake Kwa Njia ya Mahakama..Amtaka Gadner Kuomba Msamaha Mbele ya Umma la sivyo hatua za kumpeleka Mahakani zitaendelea, Soma Hii Hapa Chini:
View ArticleRAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA UWANJA WA NDEGE,AKUTA MADUDU HAYA NA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameiagiza Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi kwa kushirikiana na vyombo vya dola kuchukua hatua mara moja dhidi ya dosari za...
View ArticleMashindano ya COPA UMISSETA yazinduliwa mkoani Kilimanjaro
Na Victor Joseph ,LEWIS MBONDE BLOGMkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick(kulia)akipokelewa na Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa kampuni ya Coca Cola,Bonite ya mjini Moshi,Christopher Loiruk...
View ArticleDiamond Akanusha Kumsaliti Zari na Model wa Video ya Raymond ‘Kwetu’
Diamond Platnumz amekanusha tetesi zilizowahi kuvuma mtandaoni kuwa alimsaliti mpenzi wake Zari na mrembo aliyetumika kwenye video ya wimbo wa msanii wake Raymond, Kwetu.“Sio kweli, wanahisi hivyo...
View ArticleWema Sepetu na Ommy Dimpoz Live Tena!
LICHA ya tetesi kuzagaa kuwa amerudiana na mpenzi wake, Idris Sultan, mtoto mzuri Bongo Muvi, Wema Sepetu kwa mara nyingine ametengeneza habari, amedaiwa bado anaendeleza uhusiano wa siri na staa wa...
View ArticleHaya Mambo Yafuatayo Huwafanya Wanawake Wengi Kushindwa Kuingia Katika Ndoa...
Pamoja na kuwa kuna wanawake husita kuolewa, lakini jambo hili si kubwa sana kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume. Kwa kiasi kikubwa katika suala la kutaka kuingia ndani ya ndoa, wanawake ni wengi...
View ArticleMAMIA YA WAKAZI WA JIJI LA MBEYA WAJITOKEZA KUMZIKA MSANII KINYAMBE
MBEYA: MAMIA ya wakazi ya jiji la Mbeya wamemzika aliyekuwa msanii wa vichekesho James Petro Nsemwa (30) maarufu kama Kinyambe ambaye alifariki dunia jumatano ya wiki hii mkoani Mbeya, katika makaburi...
View Article