Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Diamond Akanusha Kumsaliti Zari na Model wa Video ya Raymond ‘Kwetu’

$
0
0
Diamond Platnumz amekanusha tetesi zilizowahi kuvuma mtandaoni kuwa alimsaliti mpenzi wake Zari na mrembo aliyetumika kwenye video ya wimbo wa msanii wake Raymond, Kwetu.


“Sio kweli, wanahisi hivyo kwasababu ni binti mzuri, wanaamini kwamba kwasababu ni binti mzuri naweza kufanya chochote, kwasababu naonekana kuwa ni maarufu na nina uwezo, Raymon ndio msanii wetu so labda ningeonekana kuwa naweza kuchukua majukumu hayo,” Diamond aliiambia Fahamu TV.

Tetesi ambazo bado zinaendelea kuvuma zilisababisha msichana huyo aitwaye Irene atukanwe na baadhi ya mashabiki.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles