Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHEKESHAJI KINYAMBE AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah  "KINYAMBE" amefariki dunia leo usiku huko nyumbani kwao Mbeya.Mmoja wa wanandugu wa Kinyambe ameithibitishia Saluti5 kuwa msanii huyo wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha ya Gigy Money na Mtangazaji Gadner G Habash Yazua Utata....

Mrembo Gigy Money Anaesifika kwa Bongo la Tako Bongo ameweka picha kwenye page yake ya Instagram na kuandika haya maneno:Precioussada Dada jide ulifanya la maana kuondoka maana huyu sio mwanaume ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Justin Kasusura Ashinda Rufaa na Kuachiwa Huru, Alishutumiwa Wizi wa Dola Mil 22

Kwa mujibu wa gazeti la the citizen la leo limeandika kuwa Kasusura kashinda rufaa yake na sasa yupo huru.Alihukumiwa miaka 30 jela mwaka 2007 kwa kosa la kuiba dola milioni 22. Fedha hizo zilikua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya May 12, Ikiwemo Sukari ya Bil 5 Yakamatwa Dar es...

 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makontena 115 Ya Sukari Yanaswa Jijini Dar es Salaam....RC Makonda Aviagiza...

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameagiza kuchunguzwa kwa sukari kontena 115 ambayo ni zaidi ya tani 3,000 iliyokutwa katika bandari kavu ya PMM iliyopo eneo la Vingunguti.Makonda alitoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIONGOZI WA UPINZANI UGANDA DR.KIZZA AKAMATWA BAADA YA KIJIAPISHA

:Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Dr.Kizza Besigye amekamatwa na kikosi cha usalama baada kuamua kujiapisha kama Rais wa nchi hiyo hapo jana ikiwa taifa hilo likijiandaa kushuhudia kiapo cha Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION

PROJECT PROPOSAL ............................................................300,000/=RESEARCH PROPOSAL WRITTING.......................................250,000/=RESEARCH PAPER...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baby Madaha asema ameamua kutulia ili kuitunza ndoa yake

Msanii wa filamu, Baby Joseph Madaha, ameibuka na kudai kwa sasa ameamua kutulia katika ndoa yake na Mwarabu wa Dubai ambaye hakutaka kumtaja jina.Baby Madaha BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahakama Yaiamuru Kampuni ya Mawasiliano ya TIGO Kuwalipa Wasanii Hamis...

Mahakama ya hakimu mkazi Ilala imeiamuru kampuni ya mawasiliano Tigo, kuwalipa shilingi bilioni 2.18 marapa Mwinjuma 'MwanaFA' na Ambwene Yessaya 'AY', kwa kosa la kutumia nyimbo yao kama Caller...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tazama jinsi Diamond na Mafikizolo Waliyopokelewa Bungeni Leo

Kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz leo walipata mwaliko wa kuingia Bungeni Dodoma ambapo mastaa hawa wapo Dodoma kwa ajili ya kupiga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Yoweri Museveni Aapishwa Rasmi Kuwa Rais wa Uganda

Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameapishwa Rasmi kuwa Rais wa nchi hiyo katika viwanja vya Kololo nchini humo na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Afrika akiwamo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Exclusive Nuhu Mziwanda have Bought a new car(gari jipya )

Exclusive Nuhu Mziwanda have Bought a new car(gari jipya )Nuhu Mziwanda have Bought a new car(gari jipya ), Hot news in Town is concerning Nuhu Mziwanda Bongo Flavor Artist from Tanzania, Today Nuhu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hamisa Mobetto, beautiful girl has shared her amazing pic on her account

OOh!My God...Hamisa Mobetto, beautiful girl has shared her amazing pic on her account, She showed her amazing massive bu**y, Hamisa Mobetto as a mom of single daughter has a lovely shape like a girl of...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond Platnumz Earlier today in DODOMA.... let's make a Movie today UDOM

Diamond Platnumz Earlier today in DODOMA.... let's make a Movie today UDOM; Photo Diamond Platnumz have already land to Dodoma Ready for the Vodacom show at University of Dodoma, alongside with...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Gigy Money: Nimeshatembea na Kiba, Mavoko na Hemed PhD, Walinitongoza Instagram

Msanii wa anayetikisa kwa sasa Dar ya Makonda Gigy Money amefunguka leo kwenye Planet bongo ya East Africa radio kwamba ameshatembea na Ali Kiba, Rich Mavoko na Hemed PhD kwa nyakati tofauti na wote...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Siri za Matajiri Tanzania Kusajili Kampuni Nje ya Nchi

Wakati Mamlaka ya Mapato (TRA) ikijiapiza kuzifanyia uchunguzi wa kina kampuni za Kitanzania zilizoanzishwa nje ya nchi, wataalamu wameeleza jinsi wafanyabiashara wanavyotumia njia hiyo kukwepa au...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kwa Hili Mafikizolo Watasimulia Kwao-Diamond Platnumz Afunguka

Diamond Platnumz amedai kitendo cha serikali kuwapa nafasi kuja bungeni leo kumeonyesha jinsi gani serikali inajali vipaji vya Tanzania hivyo hiyo ni picha nzuri ambayo wasanii hao wa kundi la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tamko La Wizara Kulaani Mauaji Ya Watu 7 Jijini Mwanza Mwanza

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto imesikitishwa na tukio la mauaji ya watu saba wa familia moja waliokatwakatwa mapanga baada ya kuvamiwa nyumbani, katika kijiji cha Sima...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS WA UGANDA YOWERI...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye Uwanja wa Kololo jijini Kampala kuhudhuria sherehe za uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Suala la Yanga na Ndanda Kuchezea Uwanja wa Taifa, Simba yasema ni Rushwa

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano Jerry Muro amesema, Ndanda FC itakapoutumia Uwanja wa Taifa itamaanisha kwamba Ndanda FC watakuwa nyumbani na hata mapato katika mgao asilimia kubwa ataipata...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live