KARIBU UTANGAZE BIASHARA YAKO NA HABARIKA BLOG BEI ZETU NI NAFUU SANA
HABARIKA BLOG Audience: Readers of our blog 1,1449,986DemographicsThe targeted audience is aged between 18 and AboveHabarika blog is read in 130+ countries, but the targeted audience are the residence...
View ArticleSheria ya Mtandao Yamtia Mbaroni Mtayarishaji wa Vipindi Mkoani Dodoma
Mtayarishaji wa vipindi, Sospiter Jonas amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Dodoma Mjini akishtakiwa kwa matumizi mabaya ya mtandao.Sospiter alisomewa mashtaka hayo na Mwendesha Mashtaka wa...
View ArticleLowassa: Mliobaki CCM Nifuateni Chadema.
Mgombea wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amewataka viongozi na makada wengine...
View ArticleRais Kikwete Awaonya Wanaopanga Kulinda Kura Vituoni
Rais Jakaya Kikwete amesema watu wanaopanga kubaki katika vituo vya kupigia kura baada ya kumaliza zoezi hilo kwa lengo la kulinda kura kunaashiria uvunjaji amani, hivyo serikali imejipanga kupambana...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DR BILAL AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU DKT....
Maafisa wa Bunge wakibebea Jeneza lenye mwili wa marehemu Dkt. Abdallah Kigoda, wakati ulipowasili kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuagwaMakamu wa Rais wa Jamhuri ya...
View ArticleKizza Besigye akamatwa Uganda
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda, Kizza Besigye amekamatwa pamoja na wanachama wengine wa chama chake.Kukamatwa kwao kunajiri wakati ambapo chama hicho...
View ArticleMbowe Amjibu Rais Kikwete Kuhusu Idadi ya Wapiga Kura na Zuio la Wananchi...
Mwenyekiti wa Chadema, mh Freeman Mbowe amemtaka Rais Kikwete kutovuruga amani ya nchi na badala yake amemtaka aondoke madarakani na kuiacha nchi ikiwa salama.Mbowe alitoa kauli hiyo jana...
View ArticleNational Election call centre launched
UNDP Country Director, Awa Dabo The National Electoral Commission (NEC) has appealed to the public to make sensible use of the national election information centre it launched yesterday, saying all...
View ArticleMKUU WA MAJESHI DAVIS MWAMUNYANGE YUPO SALAMA ANAENDELEA NA MAJUKUMU YAKE NA...
Mkuu wa majeshi akiwa katika shughuli zake za kawaida nje ya nchi mzima wa afya njemaAkiwa London juzi na mjukuu wake Familia ya Mkuu wa Majeshi General Davis Mwamunyange imetoa kauli mara baada ya...
View ArticleMWENYEKITI MWENZA WA UKAWA DR EMMANUEL MAKAIDI AMEFARIKI DUNIA
Mwenyekiti wa NLD, ambaye ni mwenyekiti mwenza wa vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa, Dkt. Emmanuel Makaidi amefariki leo majira mchana katika hospitali ya Nangao mkoani Lindi.Taarifa za uhakika...
View ArticleBaada ya Kujitoa CCM, Balozi Juma Mwapachu Atoa Mpya..Adai Hata Nyerere...
Siku moja baada ya kutangaza kujitoa CCM, kada mkongwe wa chama hicho, Balozi Juma Mwapachu amesema uamuzi alioufanya ni sahihi ambao hata Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere angekuwa hai angeufanya...
View ArticleHELIKOPTA YA CCM YAANGUKA MBUGANI IKIWA NA MH DEO FILIKUNJOMBE
Usiku wa kuamkia leo October 16 2015 majukwaa ya siasa Tanzania yametawaliwa na ajali ya Helikopta ambayo imeanguka na kulipuka kwenye mbuga ya BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleLamar Odom Has 50/50 Chance For Survival, Took Several Sex Pills Before His...
According to a report by TMZ, former NBA star Lamar Odom has a 50/50 chance of survival. They also confirmed that Khloe is still married to him and is now making all the decisions on his behalf.Sources...
View ArticleBaadhi Ya 'Vituko' Vilivyopo Ndani ya Daftari la Wapiga Kura.....Picha...
Hizi picha mbili za kulia sio za binadamu. Moja ni kama ya mlango, nyingine ni weusi tu unaonekana BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
View ArticleBREAKING NEWSS: MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA LUDEWA (CCM),DEO FILIKUNJOMBE AFARIKI...
HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE:Aliye kuwa Mbunge wa jimbo la Ludewa na Mgombea wa jimbo hilo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM, Deo Filikunjombe (Pichani) amefariki dunia wakati akielekea kwenye...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)..................................... 45,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View ArticleDakika 6 za maneno ya mwisho ya marehemu Deo Filikunjombe
Deo Filikunjombe alikua mbunge wa Ludewa (CCM) ambaye alipata ajali ya Helikopta kwenye eneo la Selous na kufariki jioni ya October 15 2015 akiwa na watu wengine watatu akiwemo baba mzazi wa aliyekua...
View Article