Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

MKUU WA MAJESHI DAVIS MWAMUNYANGE YUPO SALAMA ANAENDELEA NA MAJUKUMU YAKE NA HUU NDIO USHAHIDI KAMILI

$
0
0

 Mkuu wa majeshi akiwa katika shughuli zake za kawaida nje ya nchi mzima wa afya njema
Akiwa London juzi na mjukuu wake


Familia ya Mkuu wa Majeshi General Davis Mwamunyange imetoa kauli mara baada ya sitofahamu inayoendelea Mitandaoni Kuhusu Mkuu huyo wa Majeshi,Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa.Akizungumza kwa Niaba ya Familia Kaka Yake Davis Mwamunyange aamethibitisha Mdogo wake anaendelea na Majukumu yake yupo Nje ya Nchi na Anatarajiwa Kurudi Nchini siku za Karibuni
Ni baada ya taarifa kuzagaa mitandaoni juu ya kulishwa sumu kwa mkuu huyo.
Familia imesema anaendelea vizuri na yupo nje ya nchi kwa majukumu ya kitaifa.
Chanzo: Kaka wa Jenerali Davis Mwamunyange.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles