Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

BREAKING NEWSS: MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA LUDEWA (CCM),DEO FILIKUNJOMBE AFARIKI DUNIA

$
0
0



HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE:
Aliye kuwa Mbunge wa jimbo la Ludewa na Mgombea wa jimbo hilo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM, Deo Filikunjombe (Pichani) amefariki dunia wakati akielekea kwenye jimbo lake akitokea jijini Dar es Salaam akiwa kwenye Chopa iliyoanguka jana katika hifadhi ya wanyama ya Selous iliyopo mkoa wa Morogoro. 

Jeshi la Polisi limedhibitisha kutokea kwa ajali hiyo kuwa hakuna mtu aliyepona katika ajali hiyo.
Chanzo:Michuzi Blog

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles