Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari Ajisalimisha Polisi, Ahojiwa Kwa...
Polisi wilayani Arumeru jana iliwashikiliwa kwa muda mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na madiwani 35 wa Chadema kwa tuhuma za kuvamia eneo na kuharibu mali. Viongozi hao, wiki iliyopita...
View ArticleWizkid Ashika Nafasi ya Kwanza Billboard, Shukrani kwa Drake
Jina la Wizkid linazidi kung’ara duniani, shukrani kwa shavu alilopewa na Drake.Wimbo ‘One Dance’ wa Drake aliomshirikisha msanii huyo wa Nigeria umekamata nafasi ya kwanza kwenye chati za Billboard...
View ArticleAnkal Issa Michuzi wa Issa Michuzi Blog Afiwa na Mtoto wake
Ankal Issa Michuzi anasikitika kutangaza kifo cha mwanae Maggid Muhidin kilichotokea jana Jumapili huko Durban, Afrika Kusini, alikokuwa masomoni.Mipango ya kuusafirisha mwili wa marehemu inafanywa,...
View ArticleUKAWA Wadai Rais Magufuli Ndo Chanzo cha Sukari Kuadimika Nchini
Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imesema tatizo la sukari nchini limetokana na uamuzi usio sahihi wa Rais Dk. John Magufuli, kwa kupiga marufuku uingizwaji wa bidhaa hiyo kutoka nje ya nchi bila...
View ArticleMahakama ya Ilala imemhukumu kifungo cha miaka mitatu jela Christina Yoram...
Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemhukumu kifungo cha miaka mitatu jela mkazi wa Ukonga Mombasa, Christina Yoram (31) baada ya kupatikana na hatia ya kumjeruhi mtoto wake wa kambo wa kiume wa miaka 11 kwa...
View ArticleIdadi ya Simu Bandia Yapungua nchini.....TCRA Yatoa Onyo Kwa Wanao Flash Simu
Serikali imewataka wauzaji wa vifaa vya mawasiliano vya mkononi (mobile devices) kuacha mara moja tabia ya kubadilisha namba tambulishi (‘kuflash’) za vifaa hivyo kwani watakabiliwa na kifungo...
View ArticleHizi ndizo tozo za kutumia Daraja la Nyerere
Serikali imetangaza rasmi kuanza kwa tozo kwa vyombo vya usafiri vitakavyopita katika daraja la Nyerere kuanzia Jumamosi tarehe 14 ,mwezi huu.BOFYA HAPA
View ArticleMbunge Adai Kuna Wabunge Wanavuta Bangi na Madawa ya Kulevya Bungeni
Mbunge wa Viti Maalum, Mariam Msabaha (Chadema) ametoa tuhuma nzito kuwa ndani ya Bunge kuna wabunge vijana wanaovuta bangi na kutumia dawa za kulevya.BOFYA HAPA
View ArticleAY na Mwana FA Waingia Kortini Kuishtaki Kampuni iliyotumia Nyimbo zao Bila...
Kuna uwezekano mkubwa, AY na Mwana FA wamefungua kesi ya masuala ya ukiukwaji wa haki miliki za kazi zao.Mwanasheria maarufu nchini, Alberto Msando amepost picha Instagram akiwa kwenye mahakamu kuu ya...
View ArticleMambo Ambayo Wanaume Wanakosea Wakati wa Kutongoza Mwanamke
1.PAPARAWanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba...
View ArticleBomu la Mkono Laibua Hofu Tanga.....Ni baada ya Mtuhumiwa Kulirusha Baada ya...
Kwa mara nyingine jana wakazi wa Jiji la Tanga walikumbwa na taharuki baada ya kijana mmoja kurusha bomu la mkono chini ya daraja wakati wananchi walipokuwa wakimfukuza baada ya kukurupushwa na polisi....
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
PROJECT PROPOSAL ............................................................300,000/=RESEARCH PROPOSAL WRITTING.......................................250,000/=RESEARCH PAPER...
View ArticleLEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI...
LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...
View ArticleRais Magufuli ‘Huyu Shetani Aliyetulaani Watanzania Kwanini Asife?’
Ni hotuba ya Rais Magufuli akiwa Arusha kwenye kuweka baraka zake kwenye majengo mapya ya PPF ambapo kwenye hotuba yake iliyochekesha watu wengi aliongelea pia ishu ya madini ya Tanzanite...
View ArticleMABASI YAENDAYO KASI YAWATOA USHAMBA WAKAZI WA DAR ES SALAAM
Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wakiwa ndani ya basi la Udart katika Kituo cha Magomeni. Mabasi hayo yalianza kutoa huduma kwa majaribio jana na leo kabla ya kuanza rasmi kesho ambako itatoza nauli....
View ArticleMwanamke Aunda Boti Lenye Umbo la Uke Wake
Mahakama moja ya Japan imemwachia huru mwanamke mmoja aliyetengeza boti iliyofanana na uke wake.Jaji aliamuru kwamba boti ya Megumi Igarashi iliofanana na uke wake na yenye rangi nyingi haikuashiria...
View ArticleBinti wa Miaka 19 Anayedai Kuwa na Ujauzito wa Papa Wemba Ajitokeza Hadharani
Binti wa miaka 19 anadaiwa kuspend one night on the same bed na Hayati Papa Wemba amekua gumzo kwenye mitandao ya kijamii ndani na nje ya Congo(D.R.C) akidai kuwa na ujauzito wa Mfalme huyo wa Rhumba...
View ArticleBaada ya Miaka 46 ya Ndoa, Mwanamke Mwenye Miaka 70 Amejifungua Mtoto wa...
Baada ya miaka 46 ya ndoa, mwanamke mwenye miaka 70 amejifungua mtoto wa kwanza huko India..Daljinder Kaur amejifungua mtoto wa kiume baada ya kupata matibabu ya IVF kwenye kliniki za uzazi huko...
View Article