MAFURIKO: Picha za Mikutano yote ya Lowassa Leo Jijini Dar es Salaam
Mgombe Urais wa CHADEMA Mhe. Edward Lowassa akiwa na Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo Saed KubeneaMsafara wa Mgombea Urais wa CHADEMA akiwa maeneo wa Ubungo akiendelea na kampeni.. Jijini Dar es...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)..................................... 45,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View ArticleElectoral body emphasizes media impartiality in election reporting.
The Chairman of the National Electoral Commission (NEC) Judge Damian Lubuva.The Chairman of the National Electoral Commission (NEC) Judge Damian Lubuva yesterday urged the nation’s media not to be...
View ArticleNEC: Kalamu Yoyote inaruhusiwa Kupigia Kura
Ili kuondoa shaka miongoni mwa wananchi kutokana na tetesi zinazosambazwa juu ya ubora wa kalamu za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema kila mtu...
View ArticleJUMA NYOSSO Aongelea Kwa Mara ya Kwanza Tukio la Kumshika Makalio Mchezaji...
Juma Said Nyosso, beki na nahodha wa kikosi cha Mbeya City amefungiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kujihusisha na masuala ya soka kwa miaka miwili na faini ya shilingi milioni mbili...
View ArticleESMA PLATNUMZ: Namshangaa Sana Diamond Kuwa na Chuki Kiasi Hicho Kwa Baba...
Brighton MasaluDADA wa ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma amemshangaa kaka yake, (Diamond) kwa kuendeleza chuki dhidi ya baba yake mzazi, mzee Abdul Jumaa.Akizungumza na...
View ArticleLowassa Ataja Vipaumbe vyake 13 Ndani ya Siku 100.
Mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa ametaja mambo 13 atakayoyafanya ndani ya siku 100 iwapo atachaguliwa kuwa Rais, huku akisema “atawakata kilimilimi” wanaombeza kuwa hawezi kuondoa...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)..................................... 45,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View ArticlePicha 11 za MAFURIKO Ya Edward Lowassa mbele ya Wananchi wa Babati na Mto wa...
BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleMagufuli Atinga Mkoani Singida....Aahidi Kuwajali Wananchi wa Kipato Cha Chini
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia wananchi waliojitokeza kwa BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleLowassa Amtosa Binti wa Sokoine ....Amtaka Ahamie UKAWA au Amsamehe
Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa jana amefanya kampeni kwa mara ya kwanza katika jimbo la Monduli na kumnadi mgombea ubunge wa Chadema, Julius Kalanga huku akieleza kuwa atazungumza...
View ArticleMagufuli azidi kuchanja mbuga, Awaomba Wana CHADEMA Mkoani Singida Waichague...
Magufuli akiwasalimia wanachadema wa Manyoni na kuwataka wampigie kura yeye na mbunge wake Daniel Mutuka.Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) John Magufuli, jana alimwaga sera katika...
View ArticleMgombea Ubunge CCM Aanguka Jukwaani Akiruka Kichurachura........Alitaka...
Mgombea ubunge wa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Tunduru Kaskazini,Mhandisi Ramo Makani alianguka jukwaani wakati akijaribu kuruka kichura chura.Tukio hilo lilitokea...
View ArticlePicha: Wananchi wa Kisiwani Pemba Wakimsubiri LOWASSA Kwa Hamu. ......Lowassa...
BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticlePICHA ZA BIRTHDAY YA DIAMOND PLATINUMZ
September 21 2015 story kwenye headlines ilikuwa party ya mtoto Tiffah, mtoto waDiamond Platnumz na mpenzi wake Zarina Hassan aka Zari the Boss Lady.. party nyingine ilikuwa jana hapohapo nyumbani kwa...
View ArticleMauzaUZA: Mwanamke Akutwa Ndani Ya Nyumba Ya Mtu Akiwa Na Tunguri, Hirizi na...
Mwanamke mmoja mtu mzima, ambaye jina lake halikufahamika mara moja amekutwa akiwa ndani ya nyumba ya mtu pasipo kueleweka namna alivyoingia, kwani milango yote ilikuwa imefungwa kwa ndani. Tukio hilo...
View ArticleTATHMINI YA SHERIA YA MTANDAO - RADIO ONE
SERIKALI imeshauriwa kuutumia vema mwezi Oktoba, mwaka huu kukuza uelewa kwa wananchi juu ya masuala ya mitandao ili kupunguza kama si kuondoa kabisa uhalifu mitandaoni.Rai hiyo ilitolewa jana jijini...
View ArticleBREAKING NEWZZZ:MWENYEKITI WA DP MCHUNGAJI MTIKILA AMEFARIKI DUNIA ASUBUHI HII
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba mwenyekiti wa Chama cha DP nchini Tanzania mchungaji Christopher Mtikila amefariki dunia asubuhi hii katika ajali katika Kijiji cha Msola mkoani PwaniMarehemu...
View Article