Dc -Paul Makonda Azindua Vitambulisho Vya Walimu Kupanda Daladala Bure Jijini...
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amezindua vitambulisho vitakavyotumiwa na walimu kupanda daladala bure wakati wakitoka nyumbani kwenda kazini.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleKAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleLEWIS MBONDE BLOG INADHAMINWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI...
LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View ArticleWaziri January Makamba Ajibu Tuhuma za Ufisadi Dhidi yake
Baada ya Mange Kimambi Kulianzisha Mtandaoni Kuwa January Makamba na Dada yake Wamehusika katika ufisadi na utapeli kwa mtaliano waliomuahidi kumtafutia deal la bandari Bagamayo... Msikilize hapa:
View ArticleNAIBU WAZIRI NGONYANI AWAPIGIA MAGOTI WANANCHI WAKE NAMTUMBO
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani akiwa anawashukuru wananchi wake kwa kumchagua. ------------------------ BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleIkulu Yavunja Ukimya Sakata la Umeya Dar
Ikulu imevunja ukimya kuhusu ile sinema ya kuahirishwa mfululizo kwa uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam kwa kusema haitaona tatizo lolote iwapo Halmashauri hiyo itaongozwa na vyama vinavyounda...
View ArticleFAHAMU LIST YA WANAUME 15 WALIO KUWA KIM KARDASHIAN!
Kanye West (2007 hadi leo). Vitu ambavyo watu wanavifanya chumani ni siri yako na mwezi wako lakini mara nyingi unapokua maarufu basi vitu hivi sio siri tena.Hivi sasa kim ameshaolewa na bwana Kanye...
View ArticleKWA NINI MKE WA MTU ANAKUWA MKE WA WATU
HATUNA budi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha tena katika uwanja wetu maridhawa wa kupeana darasa la uhusiano. Siku zote ukikubali kupokea na kufanyia kazi yale tunayopeana kila Jumamosi...
View ArticleMWANAMKE ALIYECHOKA KUISHI ASAIDIWA KIFO AKIWA NA MIAKA 99
Mwanamke wa pili wa Kiingereza ambaye 'alichoka kuishi' amesaidiwa kufa kwenye kliniki ya kujitoa mhanga nchini Uswisi.Mwanamke huyo, ambaye alikuwa na umri wa miaka 99 akitokea London, hakuwa mgonjwa...
View ArticleRais Magufuli Ampiga Chini Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.....John...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amemteua Balozi Mhandisi John William Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Kabla ya uteuzi huo Mhandisi Kijazi alikuwa Balozi wa Tanzania...
View ArticleNi Kipi Hasa Kilichomuondoa Balozi Ombeni Sefue Ikulu? Atapangiwa Kazi Gani...
Tumekuwa tukipaza sauti kuwa mtu anayeondolewa kwenye nafasi yake ya utumishi basi ni lazima zitolewe sababu za msingi za kuondolewa kwake! Haiwezekani katibu mkuu kiongozi anaondolewa kimyakimya tu...
View ArticleUshindi wa Lulu na Richie kwenye AMVCA 2016 utaziongezea pumzi filamu za...
Tuzo za Africa Magic Viewers Choice Awards, ni sawa na Oscars za Afrika. Ndiyo tuzo kubwa zaidi zinazoikutanisha tasnia ya filamu Afrika nzima pamoja.Utofauti kati ya tuzo za Oscars na AMVCA ni kuwa...
View ArticlePicha za Mwigizaji Rich Richie Alivyotua Airport Baada ya Kushinda Tuzo ya...
Usiku wa March 5 tasnia ya Bongo Movie iliingia kwenye headlines Lagos Nigeria, baada ya wasanii wawili kushinda tuzo za Africa Magic Viewer’s Choice Awards2016 zilizotolewa Lagos Nigeria, Single...
View ArticleVideo: Rais Magufuli Akimtangaza Katibu Mkuu Kiongozi Mpya Baada ya...
Video ya Rais Magufuli akimtangaza John Kijazi Kuwa Katibu mkuu Kiongozi kuchukua nafasi ya Ombeni Sefue ambaye atapangiwa kazi nyingine
View ArticleWema, Kajala Acheni Utoto Bwana!
KWENU warembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu ‘Madam’ na Kajala Masanja. Habari zenu binafsi? Bila shaka ni wazima wa afya na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku. Kitambo kidogo sijawaona lakini...
View ArticleJanuary Makamba Hatihati Kutumbuliwa Jipu Kwa Ufisadi......Mange Kimambi Aapa...
Sakata la Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira na Muungano), January Makamba na Mdogo wake Mwamvita kudaiwa kupokea rushwa kutoka kwa raia wa Italia, Vincenzo Cozzolino ili wamsaidie...
View Article