Jibu la Vanessa Mdee Kwa Shabiki Aliyemdiss Juma Jux.....Ilikuaje?
Kupitia akaunti yake ya instagram Vanessa amepost picha ya promo ya Jux na cyril ya kwa ajili ya show ya Morogoro na Dodoma na kuandika maneno haya.. “Moro na Dodoma sio kwa kunichukulia mtu wangu...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View ArticleDiamond Platnumz akutana na Kanye West, Los Angeles
Yoyote ambae anaufuatilia muziki wa Kanye West akikutana nae hawezi kuacha kupiga nae picha. Diamond alisafiri kuelekea Marekani Las Vegas kwa ajili ya kufanya show, ambapo kwenye maelezo ya hii...
View ArticleKUTANA NA FAMILIA INAYOLALA NA MYAMA HATARI SIMBA CHUMBA KIMOJA!
Kwenye nyumba tunazoishi mara nyingi tumekua tukifuga na kuishi na Paka au Mbwa kitu ambacho ni kawaida na ni nadra sana kukutana na mtu anaeishi na au kufuga viumbe ambavyo ni hatari kwa maisha ya...
View ArticleCHUI AAMUA KUWA MPOLE ILI AOKOLE NA BINADAMU KUTOKA NDANI YA KISIMA
Chui akiwa kwenye kisimaMwanaume mmoja kutoka katika kijiji cha Guwahati nchini India amemuokoa chui kutoka kwenye kisima ambako alikuwa amedumbukia.Angalia picha jinsi ilivyokuwa:Mawanaume huyo...
View ArticleBOMU LALIPUKA MASKANI YA CCM HUKO ZANZIBAR
Kitu kinachosadikika kuwa bomu kimeripuka usiku wa kuamkia jana eneo la Michenzani mjini Unguja, eneo linalojulikana kama maskani maarufu ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mlipuko huo umezua...
View ArticleTRA Yamkalia Kooni Anna Tibaijuka..Yamtaka Alipe Sh Mil 500 Kutoka Katika...
Hatima ya kesi ya Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka kupinga kuilipa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) zaidi ya Sh500 milioni kutoka katika mgawo wa Sh1.62 bilioni zinazohusishwa na fedha...
View ArticlePicha: Lulu Michael Ndani ya Nollywood (Nigeria) Tuzo za Africa Viewers...
Muigizaji mwenye mvuto wa aina yake bongo, elizabeth michael , maarufu kama lulu, ametua nchini Nigeria kwenye sherehe za ugawaji tuzo za Africa viewers choice awards(AMVA 2016) zinazofanyika nchini...
View ArticleMREMBO GIGGY MONEY AJIREKODI VIDEO YA UTUPU
Video Queen wa Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’.Video Queen anayezitendea haki video za wasanii mbalimbali hapa Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameambulia matusi na maneno ya dhihaka kutoka kwa...
View ArticlePICHA ZA MDOGO WAKE CORAZON>>>ZILIZOSABABISHA WAKENYA KUTAKA KUANDAMANI...
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook
View ArticleLulu Michael Naye Aitoa Kimaso Maso Tanzania....Ashinda Movie Bora Afrika...
Please join me to Salute another Tanzanian hero hapa Lagos Super Star Lulu Michael kwa kushinda tuzo ya filamu bora Afrika Mashariki (Best Movie – East Africa) kupitia Mapenzi. Muigizaji huyo...
View ArticleRichie Ashinda Tuzo ya Filamu Bora Ya Kiswahili, Afrika!.
Star wa Bongo Movie wa Kitanzania, Single Mtanzania, Single Mtambalike, "Richie Rich", meshinda tuzo ya filamu bora ya Kiswahili katika tuzo za filamu za Afrika huko Nigeria usiku huu.Richie ameshinda...
View ArticleNdoa ya Rayuu Chali Baada ya Wiki Moja Tu..Kisa Skendo Chafu za Magazeti
Baada ya kutamba kuwa tayari amepata mume wa maisha, mambo yameharibika msanii wa filamu Rayuu, kwani sasa hatoki nje wale hapokei simu za shoga zake.Wiki moja iliyopita msanii huyo aliiteka mitandao...
View ArticleAzam FC Vs Yanga zatoka sare 2-2, Juma Abdul Afanya Maajabu Ajifunga na...
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo katika uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, vilabu vya Azam FC na Dar Es Salaam Young Africans, vilishuka dimbani kucheza mchezo wao wa marudiano wa Ligi Kuu...
View Article