Siku 67 za Ombeni Sefue Ikulu Kabla ya Kutumbuliwa JIPU Jana
JANA ilikuwa siku ambayo Rais John Magufuli alitoa uamuzi mzito wa kubadilisha nafasi za uongozi wa ngazi ya juu zaidi kwa viongozi ambao amefanya nao kazi baada ya kumuondoa Balozi Ombeni Sefue...
View ArticleWANAWAKE WOTE NCHINI WAMETAKIWA KUJIAMINI NA KUWA NA UTHUBUTU KWA KUFANYA...
Picha ya Maktaba yetu Kuelekea siku ya wananawake duniani ambayo kila mwaka inafanyika Marchi 8, Wanawake wote nchini wametakiwa kujiamini na kuwa na uthubutu kwa kufanya shughuli za kujitafutia...
View ArticleMoto Wateketeza Mabweni Mawili katika Shule ya Sekondari ya Iyunga jijini...
Mabweni mengine mawili ya shule ya Sekondari Iyunga iliyoko jijini Mbeya yameteketea kwa moto mchana huu.Hii ni mara ya pili sasa moto kuzuka katika shule hiyo .Wiki kadhaa zilizopita...
View ArticleRais Magufuli Amuapisha Balozi Eng. John William Kijazi Kuwa Katibu Mkuu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Eng. John William Herbert Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu jijini Dar es Salaam. Balozi Kijazi anachukua nafasi...
View ArticleShabiki wa Ali Kiba Instagram Aponda Show ya Kiba Nigeria..Autupia Lawama...
Shabiki wa Kiba anayejiita @kiba_for_real Huko instagram mambo yamemfika shingoni na kuamua kusema haya:"Leo naomba fans wenzangu wa alikiba mnisamehe nitaongea kinachoniuma,1.ivi king Kiba alipokuwa...
View ArticleHIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA LULU KUHUSU UJIO WAKE TANZANIA KESHO
Tunajua ni Watanzania wawili walishinda tuzo mbili kwenye usiku wa tuzo za Africa Magic Viewer’s Choice Awards, wa kwanza ni Single Mtambalike ‘Richie’ na Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambapo Richie tayari...
View ArticleHuwa Napata Shida sana Nikikutana na Wanawake Wenye tabia hii
Huwa napata shida sana nikikutana na Wanawake wenye hii tabia...Unampenda Mwanamke kabisa from ur heart,unajipanga unampiga saundi..anakujibu,''How old are you kaka'' unamwambia am 29...
View ArticleChid Benz alimfanyia unyama Ali Kiba wakati wakirekodi wimbo ‘Hasira za Nini’
Rapper Chid Benz amesema wakati wanarekodi wimbo ‘Hasira za Nini’ aliyomshirikisha Ali Kiba, alimfungia ndani msanii huyo katika chumba cha kuingizia sauti ambacho kilikuwa na joto kali.Ali Kiba na...
View ArticleUpendo Kwa Wasanii Wetu Unapoanza Kuwa Kero Kwa Wasanii wa Nje!
Mitandao ya kijamii imesababisha mashabiki wawe na access ya moja kwa moja na wasanii wanaowapenda.Imewasaidia kufuatilia maisha yao na kazi zao kwa ukaribu zaidi. Imewasaidia kuwapongeza wanapofanya...
View ArticleRATIBA YA MAPOKEZI YA LULU AKITOKEA NAIGERIA HII HAPA
drchenitzWapendwa mungu akipenda tukutane LEADERS kuanzia saa 4 mchana hivi maana saa 6 mchana maelekezo Airport anatua kwa upendo zaid karibu sana @elizabethmichaelofficial watanzania wanakusubilia...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View ArticleMwanafunzi Aliyeongoza Kitaifa Matokeo Kidato cha Nne Aahidiwa Ajira Na Benki...
Benki ya CRDB imemfungulia Akaunti ya Scholarship na kumwekea sh. Milioni 5 mwanafunzi aliyefanya vizuri katika mtihani wa kumaliza kidato cha nne mwaka 2015, Butogwa Shija na...
View ArticleSerikali Yatoa Bei Elekezi ya Sukari..... Kilo moja Kuanzia sasa ni Sh. 1800...
HATIMAYE Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Magufuli imekisikia kilio cha muda mrefu cha Wananchi ambao walikuwa wakilalamika kupanda kwa bei ya sukari nchini. Akizungumza na Waandishi...
View ArticleWaziri wa Ardhi, William Lukuvi Akataa Rushwa ya Bilioni 5
Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amesema rushwa imekithiri kwenye sekta ya ardhi kiasi kwamba wafanyabiashara wawili walimuahidi rushwa ya Sh5 bilioni afanikishe mpango wao wa kuiuzia Serikali ardhi...
View ArticleMWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI RUKWA AMPA MIMBA MWALIMU WAKE
WAKATI ikiwa imezoeleka kuwa baadhi ya walimu wa kiume huwarubuni wanafunzi wao wa kike na hata kuwaharibia kabisa ndoto zao za kielimu kutokana na kuwapa ujauzito, hali imekuwa tofauti mkoani Rukwa...
View ArticleBalozi Ombeni Sefue Amshukuru Rais Magufuli Kwa Heshima Aliyompa......Aahidi...
Baada ya kudumu Ikulu kwa takribani siku 127 zikiwamo 67 tangu aongezewe muda wa mwaka moja akiwa na Serikali ya Awamu ya Tano, Balozi Ombeni Sefue ameshukuru heshima aliyopewa na Rais John Magufuli...
View ArticleDonald Trump Afananishwa na Madikteta Wakubwa Waliowahi Kutingisha Dunia
Rais wa Mexico Enrique Pena Nieto amesema lugha anayotumia mgombea urais wa chama cha Republican Donald Trump ndiyo iliyotumiwa na madikteta Adolf Hitler na Benito Mussolini.Amesema hayo kwenye...
View ArticleBaada ya Kutemana na Nisha Huyu Hapa Ndio Mpenzi Mpya wa Baraka De Prince
Penzi ni kikohozi kulificha huliwezi!Seems like Barakah Da Prince ana ngekewa na watoto wazuri wa mjini. Baada ya Meninah, Linah, Masogange, Nisha na wengine tusiowajua, hitmaker huyo wa ‘Siachani...
View Article