Polisi Yavamia Harusi, Wakamata Bwana Harusi na Watu Wake Kwa Kuhusishwa na...
Baada ya kupitapita huku na kule katika maeneo yaliyotokea kadhia ya ujambazi jana nilifanikisha kunasa tukio Moja maeneo ya Chulwi Kongowe Mbagala kama sijakosea.Mnamo 27.2.2016 majira ya SAA 12 jioni...
View ArticleBREAKING NEWS :KIONGOZI WA MAJAMBAZI WALIOVAMIA ACCESS BANK MBAGALA AKAMATWA
Polisi wakiamua kufanya kazi kweli wanaweza.Jana wamemtight jamaa anayeaminika kuwa kiongozi wa genge linalotikisa kuvamia mabenki.Sura hii ni common hapa mujini, jamani anayemfahamu! Siku nne baada...
View ArticleMbowe Apinga Watumishi wa Umma Kutumbuliwa MAJIPU Bila Kupewa Nafasi ya...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amepingana na sera ya Rais John Magufuli ya kuwatumbua majipu watumishi wa umma wazembe na wabadhilifu wa mali za...
View ArticleMABWENI YA SHULE YA SEKONDARI IYUNGA JIJINI MBEYA YATEKETEA KWA MOTO, CHANZO...
Askari wa Kikosi cha Zimamoto Jijini Mbeya, akiendelea na jitihada za kuuzima moto unaoendelea kuwaka na kuteketeza Mabweni ya shule ya Sekondari Iyunga jijini humo, chanzo cha moto huo bado...
View ArticleFamilia ya marehemu Banza Stone imempoteza mama na dada wa Banza leo
February 29 familia ya marehemu msanii wa muziki wa dansi Ramadhani Masanja maarufu kama Banza Stone imepata pigo tena tena ikiwa ni zaidi ya miezi minne imepita toka impoteze msanii huyo, famili ya...
View ArticleLEWIS MBONDE BLOG INADHAMINWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI...
LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View ArticleRufaa ya Babu Seya na Mwanaye Kuanza Kusikilizwa March 11 Mwaka Huu.
Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika (AfCHPR) katika kikao chake kilichoanza jijini Arusha, itapitia maombi ya rufani ya mwanamuziki maarufu nchini, Nguza Viking na John Viking dhidi ya Jamhuri ya...
View ArticleTaarifa ya Bodi ya Utalii Nchini Kupinga Taarifa Zinazosambaa Kwamba Olduvai...
BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imekuwa ikifuatilia kwa makini majadiliano yanayoendelea katika mitandao mbalimbali ya kijamii kufuatia video iliyotumwa katika...
View ArticleJanuary Makamba Aikosoa Serikali ya Kikwete
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba ametofautisha nyakati za utawala wa Serikali ya Awamu ya Nne iliyoongozwa na Dk. Jakaya Kikwete na zilizopita na huu wa...
View ArticleHalima Mdee Atupwa Rumande......Mahakama yakana kuzuia uchaguzi wa Meya Dar
Wakati mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee akilala rumande akihusishwa na vurugu zilizotokea Jumapili wakati uchaguzi wa meya wa Jiji la Dar es Salaam ulipokwama, Mahakama ya Kisutu imelikana zuio...
View ArticleSerikali Yalitaka Gazeti la DIRA Limuombe Radhi Katibu Mkuu Kiongozi Balozi...
1. Utangulizi:Gazeti la Dira ya Mtanzania, Toleo Na.404 la Februari, 29 - Machi 6, 2016 liliandika taarifa yenye kichwa cha habari kisemacho "Uchafu wa Ombeni Sefue Ikulu". Taarifa hiyo, ambayo ni...
View ArticleMAPOZI MENGINE YA OFISINI UTATA MTUPU,DADA ZETU BADILIKENI
Hivi unakuwa na nia gani unakubali kupigwa picha kama hii kwa mkao huu tena ndani ya Ofisi. na Kuamua kuiwekaMtandaoni huku si kujidhalilisha na kuwafanya wale waliokupa mamlaka ya wadhifa ulionao...
View ArticleLEWIS MBONDE BLOG INADHAMINWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI...
LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View Article