HII NDIYO BEI MPYA YA MAFUTA KUANZIA KESHO....EWURA YATANGAZA RASMI
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngamlagosi amesema ‘kuanzia tarehe 2 Machi bei za mafuta zimebadilika ikilinganishwa na toleo lililopita la Februari 2016.Kwa Machi...
View ArticleRais Dkt. Magufuli amtumia salamu za Rambirambi, Rais Mstaafu Dkt. Kikwete...
Mzee Seleman Kikwete enzi za uhai wake
View ArticleRay Baada ya Kukimbiza na Maji Sasa Anakimbiza Filamu ya Tajiri Mfupi!
MUONGOZAJI,mtayarishaji na mwigizaji wa filamu Vincent Kigosi ‘The Greatest’ Mzee wa Maji akiendelea kutikisa na unywaji wa maji sasa ameibuka na filamu yake kali na ya kusisimua ya Tajiri Mfupi...
View ArticleLulu: Mastaa Mtaishia Kuchambana Insta
ZA uso laivu! Staa mwenye mvuto Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa mastaa wengi Bongo wataishia kuchambana kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram badala ya kutafuta elimu ili siku moja...
View ArticleLAANA:MUONE HUYU MREMBO ALIYEFUKUZWA KANISANI BAADA YA KUVAA NGUO...
There was drama over the weekend in a local church at wetlands where a woman with big shaky behind captured the attention of the congregation as she sang along the hymns. this annoyed the pastor who...
View ArticleNchi Jirani ya Kenya Yashika Nafasi ya Tatu kwa Ufisadi Duniani
Shirikisha la Wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Kenya wameelezea hofu ya taifa kujikuta katika mapinduzi kutokana na ufisadi uliokithiri, huku walala hoi wakiendelea kutaabika ndani ya nchi...
View ArticleHaya Hapa Ndio Makosa ya Mwanaume Yanayosababisha Mke au Mchumba Amsaliti
Kuna sababu anuai zinazomfanya mwanamke amsaliti mumewe. Ni muhimu kutambua kuwa mwanamke ni kiumbe mwenye hisia kali na daima ahisi raha na amani. Baadhi ya nyakati hufanya usaliti ili kuziba pengo la...
View ArticleMtoto wa Odinga amekiri kuwa alikosea alipodai kuwa bonde la Olduvai Gorge...
Mwanawe aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya, Raila Odinga, Rosemary, amekiri kuwa alikosea alipodai kuwa bonde la Olduvai Gorge liko Kenya ilhali liko Tanzania.''Bonde la Oldupai ama Olduvai liko Tanzania,...
View ArticleVodacom, Tigo, Airtel, Smart na Zantel Zapigwa Faini ya Mamilioni ya Pesa Na...
Kufuatia malalamiko kuhusu huduma duni za mitandao ya simu nchini, Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imezitoza faini kampuni kwa kushindwa kuwajibika katika huduma zao. Kampuni za simu zilizopigwa faini...
View ArticleTCRA Yakunjua makucha......Yazifungia na Kuzipiga Faini Kampuni za Azam...
MAMLAKA ya Mawasiliano nchini (TCRA) imeipiga faini ya milioni 10 kampuni ya biashara ya mtandao – RIFARO AFRICA na pia imeizuia kuendelea na huduma kwa madai ya kutokuwa na leseni.Aidha TCRA imeeleza...
View ArticleWabongo wa Mvaa Rosemary Odinga Aliyesema Olduvai Gorge Ipo Kenya!
Rosemary Odinga, mtoto wa mwanasiasa mkongwe wa Kenya, Raila Odinga anatamani Instagram isingekuwepo!Ni kwasababu tangu aombe radhi kupitia mtandao huo kwa kauli aliyoitoa kwenye mkutano wa viongozi...
View ArticleSudani Kusini Yakubaliwa Kuwa Mwanachama Mpya wa Jumuiya ya Afrika...
Wakuu wa mataifa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wameikubalia Sudan Kusini kuwa mwanachama wa jumuiya hiyo ya kikanda.Mkutano wa kilele wa Jumuiya hiyo jijini Arushaleo Jumatano (Machi 2)...
View ArticleShamsa: Mkongo wa Wolper,Wema Amenitongoza
STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford juzikati alimwaga ‘ubuyu’ hadharani kwa kusema kwamba, yule jamaa Mkongo ambaye amekuwa akidaiwa kutoka na Wema Sepetu, Jacqueline Wolper amemtongoza.Akizungumza na...
View ArticleMkubwa Fella Akanusha Wasanii Wake Kujihusisha na Biashara ya Madawa ya Kulevya
Meneja wa Kundi la TMK Wanaume Family na Yamoto Band, Mkubwa Fella amekanusha madai yaAkiongeza na Sporah Show ya Clouds TV Jumamosi hii, Fella aliulizwa kwamba kuna taarifa zina sambaa kuwa wasanii...
View ArticleLEWIS MBONDE BLOG INADHAMINWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI...
LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...
View Article