Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Familia ya marehemu Banza Stone imempoteza mama na dada wa Banza leo

$
0
0
February 29 familia ya marehemu msanii wa muziki wa dansi Ramadhani Masanja maarufu kama Banza Stone imepata pigo tena tena ikiwa ni zaidi ya miezi minne imepita toka impoteze msanii huyo, famili ya Banza leo February 29 imeondokewa na watu wawili muhimu kwa Banza.
Screen_Shot_2015-06-24_at_10.34.33_PM1
Marehemu Banza Stone enzi za uhai wake
Leo zimeripotiwa taarifa za familia hiyo kupata misiba miwili ya watu muhimu kwa marehemu Banza Stone, kwa taarifa zilizotoka ni kuwa mama mzazi wa Banza Stone na dada yake wamefariki.

CHANZO CHA HII STORI: Salute5

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles